Kwa nini watazania tunageuzwa wajinga?

Kwa nini watazania tunageuzwa wajinga?

mpk

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
3,115
Reaction score
3,865
Nimfuatilia kwa uchungu bunge la leo. Hivi nchi yetu imefika hapo? Ni wazi suala la ufisadi siyo geni tanzania, lakini jamani hatuna uchungu na nchi yetu kiasi hicho? Hivi zile kelele za jana kuhusu mabiloni ya USWIZI ingeisha hvi? Napendekeza CDM wapige tena mkutano pale Jangwani wataje hiyo orodha ya mafisadi walioweka hizo fedha za walala hoi ugaibuni. Napendekeza hivyo nikamini CDM ndiyo wenye ubavu wa kuwataja, hawa akina Ole Sendeka ni kelele za makundi yao CCM. Sina hakika sana na ushiriki wa chama ktk hili maana maana ZZK katika hotuba yake alikuwa akisisitiza 'katika uchunguzi nliyofanya'. Sina shida naye ila likbebwa na chama litakuwa na uzito kuliko kuwa ya mtu mmoja.
 
Adhabu kali = ONYO KALI

CCM inajionesha kuwa haina MISINGI MADHUBUTI YA KUONGOZA NCHI...aibu kweli kweli
 
Heri tungegeuzwa wajinga kuliko kuwa wapumbavuu kama ilivyo. Hakuna anayejali maana kila mtu anaiba alipo. Ila wale wasio na pa kuiba watazidi kuumia hata kuagamia. Tanzania inajengwa na wenye moyo na kuliwa na wenye meno. Wenye uchungu kama wewe tuomboleze na kuomba watu wetu waamke na kuachana na maisha ya kuishi kwa matumaini kama waathirika.
 
Watanzania hatujageuzwa wajinga kama usemavyo mkuu, tunapenda na tunafurahia na kuona fahari kwa ujinga wetu, mkuu!

Nakubaliana na wewe kabisa Mkuu. Hatujageuzwa wajinga leo ila tumekuwa wapumbavu siku zote. Viongozi wetu wanafahamu kuwa sisi ni majuha na tutakubaliana chochote watakachotuambia! Wale viongozi wachache makini wanavyojitokeza kujaribu kutuondoa kwenye huu upumbavu tunawageukia na kuwapiga vita kwa sababu ya upumbavu wetu. Our moronic leaders see that and they sit around and laugh at us!
 
Tatizo kubwa ninaloliona ni kuwa Mafisadi wana Nguvu sana ya Pesa na wanatumia kila njia kupandikiza kila Mahali watu wao, ili kuwalinda na Ufisadi wao kuliko Wapambanaji wa Ufisadi.
Tatizo la Watanzania na Wananchi bado tupo Usingizini, hatujui Wajibu wetu na kutambua kuwa Sisi ndio wenye Nchi, wenye Kauli ya Mwisho. Tutazidi kulalamika na kuwaacha Mafisadi wakipeta na kutamba.
Tumeweka Ushabiki wa Vyama, Wanasiasa, bila kuangalia Mustakabadhi wa Nchi na Ustawi wake.

Nimfuatilia kwa uchungu bunge la leo. Hivi nchi yetu imefika hapo? Ni wazi suala la ufisadi siyo geni tanzania, lakini jamani hatuna uchungu na nchi yetu kiasi hicho? Hivi zile kelele za jana kuhusu mabiloni ya USWIZI ingeisha hvi? Napendekeza CDM wapige tena mkutano pale Jangwani wataje hiyo orodha ya mafisadi walioweka hizo fedha za walala hoi ugaibuni. Napendekeza hivyo nikamini CDM ndiyo wenye ubavu wa kuwataja, hawa akina Ole Sendeka ni kelele za makundi yao CCM. Sina hakika sana na ushiriki wa chama ktk hili maana maana ZZK katika hotuba yake alikuwa akisisitiza 'katika uchunguzi nliyofanya'. Sina shida naye ila likbebwa na chama litakuwa na uzito kuliko kuwa ya mtu mmoja.
 
Kwa sababu watanzania wengi bado wako kwenye usingizi wa pono! Wachache wanadhani wanafaidika na mfumo uliopo! Wanahitaji kuendelea kuelimishwa
 
mchunguzaji ndiye anayetakiwa kuchunguzwa
 
mkuu aisaidii kaongea fact alichokiona bungeni sasa kumdhiaki inasaidia nini? ya kwamba kazusha?
 
Back
Top Bottom