Kwa nini wanawake warembo hawadumu kwenye ndoa zao?

Kwa nini wanawake warembo hawadumu kwenye ndoa zao?

luckers

Member
Joined
Jan 6, 2013
Posts
64
Reaction score
2
Takiriban familia nying zenye mafalakano chanzo huwa urembo wa mwanamke nashndwa kujua ni kwa nn naomba mnsaidie.
 
wengi wao wana kiburi kwasababu ya uzuri wao, wanajua wao ni wazuri hivyo hata wakiachika wataolewa tena!!
 
Asprin elewa mada, hajasema wanawake wote wazuri, kama wako uko nae basi sio miongoni wa hao!! kuwa muelewa bro!!
 
Sura na maumbo yao yanawaponza kufuatwa fuatwa na wanaume kama nyuki
 
kweli bana @ stamina coz weng wanazan ata kama akiachka mda wowote ataolewa tena.
 
uzuri unaanzia ngapi?

Cut off grade ya uzuri ni ipi?
 
Mbona mimi mbaya halafu nimeshindwa kudumu kwenye ndoa.
 
naongelea sura and shape nzuri Petro
 
Last edited by a moderator:
uzuri unaanzia ngapi?

Cut off grade ya uzuri ni ipi?

Kinda ask the same question. Nijuavyo mimi "uzuri" ni relative term na kila mwanaume anaoa mwanamke "mzuri" kwake.

Aren't you beautiful, my love?
 
naongelea sura and shape nzuri Petro
 
Last edited by a moderator:
Kinda ask the same question. Nijuavyo mimi "uzuri" ni relative term na kila mwanaume anaoa mwanamke "mzuri" kwake.

Aren't you beautiful, my love?

Na uzee wako hujui mwanamke mrembo? Muulize Amatus Liumba atakwambia
 
Asprin elewa mada, hajasema wanawake wote wazuri, kama wako uko nae basi sio miongoni wa hao!! kuwa muelewa bro!!

Well, labda unisaidie wewe.... Ni mwanaume gani anaoa mwanamke "mbaya"?
 
Na uzee wako hujui mwanamke mrembo? Muulize Amatus Liumba atakwambia

Ok..... nimuulize kwakuwa yeye ndio anawajua wanawake wazuri kwa kigezo chake, chako au changu?

Uzuri wa mwanamke uko machoni mwa mwanaume wake, asema ODM.
 
kila jamaa nje anataka kumega papuchi ya bidada sasa mwishio bidada anazidiwa na kuavhia mtu amege....pili demu anajua kabisa kuwa yeye cake so ukimbwaga kwake yeye kupata kidume sio kazi lol
 
hyo kweli bana kama angekuwepo mzur mmoja wa2 wasnge kubal kuoa kila sku mean uzur uko machon kwako
 
Back
Top Bottom