Kwa nini WANAWAKE walio wengi wanaogopa...?

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,764
Mende,panya,buibui ,mijusi na vijidudu vingine tudogotudogo ? Yaani ni majanga ,wengine hutetemeka mwili mzima na kama ameonekana ndani basi haingii hadi kidudu kimeuliwa ,mambo haya vipi /? :wacko: kuna mahusiano na upendo ?
 
kuna wengine wakuona hata unachinja kuku wana freak out, lakini hawaachi kula
 
Huku kwetu uswahilini tunaishi na panya, mende , buibui nk na hakuna anayeogopa. Tupilia mbali wanawake hata watoto tu hawaogopi.
 
Wanaogopa tududu,vidudu,dudu,madudu n.k ila sasa wanavohusudu!! Conclusion huwa wanapretend
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…