tafakari kali
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 211
- 39
Wakuu na wataalamu wa maswala ya compyuter,hv hamjafanya utafiti na kugundua kuwa tupo mamia ya watu tunaoitaji kujua mambo ya IT sana?
Mfano mimi napenda sana kujua jinsi com zinavyowasiliana,kutengeneza progs,appsna mambo ya security.
Kwangu kujua mambo haya ni zaidi ya kuajiliwa.
Tupo wengi sana tunapenda kujua haya na mengineyo.
Kuna mambo mengi yalifanya tusiweze kusoma ktk system inayotakiwa ILA tunahitaji.
JIKUSANYENI WATAALAMU KADHAA CHANGENI MTAJI FUNGUENI KITUO KISHA ANZISHENI MASOMO.
Nawahakikishia turn up itakuwa kubwa mno na mtabolesha kipato sana.
Nawasihii tusaidieni nanyi muisaidie mifuko yenu kutuna ( ha ha ha )