Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,269
Ni desturi kwa mwanaume kumpa pesa mwanamke baada ya kufanya naye mapenzi, na ikiwa mmekubalina na pia RAHA hata na yeye anaipata.
Inakuwaje mmpe pesa na siyo mwanamke ampe pesa mwanaume, hata kama mwanamke ana kipato kikubwa akini bado anapewa pesa kwa ajili ya penzi. Mwenzenu napata taabu sana kulielewa suala hili.
(1) nini maana ya pesa anayopewa (kumuhonga)
(2) Je, kwa nini mwanamke asiwe yeye wa kumpa pesa mwanaume?
Wana JF naomba mnisaidie.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Hichi kitu wanawake na wanaume wamepewa bure sasa kama unahonga ili upate basi ni wewe.Ebu jaribu kuomba uone kama ujapewa bure .Shida hamjui kuomba unaanza na kutoa vitu na dio maana hata Rushwa ilianza hivyohivyo
huyo mwanaume anaehonga mpaka karne hii atakua na matatizo, Nkuonge we kwa kipi asa ulichonacho ambacho wengine hawana..
Ni desturi kwa mwanaume kumpa pesa mwanamke baada ya kufanya naye mapenzi, na ikiwa mmekubalina na pia RAHA hata na yeye anaipata.
Inakuwaje mmpe pesa na siyo mwanamke ampe pesa mwanaume, hata kama mwanamke ana kipato kikubwa akini bado anapewa pesa kwa ajili ya penzi. Mwenzenu napata taabu sana kulielewa suala hili.
(1) nini maana ya pesa anayopewa (kumuhonga)
(2) Je, kwa nini mwanamke asiwe yeye wa kumpa pesa mwanaume?
Wana JF naomba mnisaidie.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
hapo labda uende kwa wale madadapoa ambao mnahesabiana raundi.
Vinginevyo hawa wengine:-
(1) umnunulie kinywaji, tena wengine bia hataki soda, bia kama henken na siyo safari. Anakunywa balaa!!
(2) umnunulie chakula - wanapenda chips kuku tena ajabu anamaliza kuku mzima.
(3) kama mnaenda guest house hapo gharama nyingine - ulipie wewe chumba.
(4) mmpe pesa nyingine.
(5) pamoja na pesa umempa bado anakuomba voucher.
(6) pamoja na pesa umempa bado anakuomba nauli ya kurudi kwake.
Yaani sipati picha
mizambwa
inaniuma sana!!!
halafu nyie wakalikali ndo mnaliwagwa sana tu
ukisema cha nini wenzio hawalali kwa mawazo watakipata lini.....
Halafu nyie mnaojifanyaga hamuhongi ndo mnauza hadi nyumba za urithi nyie
duh hiyo kwaajir ya mwanamke au malaika.. Nkupotezee nguvu zangu zote na hela nikupe, emh nitue