Urenga One
Member
- May 22, 2009
- 50
- 1
Masikini Tanzania yaani kila nikikaa, nikilala,nikitembea najiuliza kwanini nilizaliwa Tanzania? Kwani kila kukicha utasikia huyu kafanya hivi huyu kafanya vile lakini sheria hawachukuliwi, ukiangalia mabunge ya Wenzetu wanachofanya kama mutu amevurunda kwanza mabishano kisha kichapo hapo hapo ukumbini lakini kwetu watu wamelala wakiibuka wanapiga makofi. Yaani kila nikiamka lazima nijipige makonzi kwani kazi yangu kuuza magazeti najilaumu sana kuzaliwa Tanzania ni kheri ningezaliwa Niger watu wanauchungu wa Nchi wanaona Rais anawapotosha wanaamua kumpindua na wanachi wanasapoti sio hapa. Najuta sana kuzaliwa Tanzania kama ningekuwa na pesa ningeukana huu Uraia.
Swali la msingi kabisa kwanini ulizaliwa Tanzania?

Nahisi kama vile unadanganywa na pepo mchafu! Unahitaji maombi ya kufunga na kukesha! Unajuta kuzaliwa Tanzania?Najuta sana kuzaliwa Tanzania kama ningekuwa na pesa ningeukana huu Uraia.
ulikuwa unataka uzaliwe nchi gani?..haiti? nigeria?iraq? pakistan ? kilwa ? palestina au kabul?
usije ukataja US:
Nahisi kama vile unadanganywa na pepo mchafu! Unahitaji maombi ya kufunga na kukesha! Unajuta kuzaliwa Tanzania?
Masikini Tanzania yaani kila nikikaa, nikilala,nikitembea najiuliza kwanini nilizaliwa Tanzania? Kwani kila kukicha utasikia huyu kafanya hivi huyu kafanya vile lakini sheria hawachukuliwi, ukiangalia mabunge ya Wenzetu wanachofanya kama mutu amevurunda kwanza mabishano kisha kichapo hapo hapo ukumbini lakini kwetu watu wamelala wakiibuka wanapiga makofi. Yaani kila nikiamka lazima nijipige makonzi kwani kazi yangu kuuza magazeti najilaumu sana kuzaliwa Tanzania ni kheri ningezaliwa Niger watu wanauchungu wa Nchi wanaona Rais anawapotosha wanaamua kumpindua na wanachi wanasapoti sio hapa. Najuta sana kuzaliwa Tanzania kama ningekuwa na pesa ningeukana huu Uraia.
Swali la msingi kabisa kwanini ulizaliwa Tanzania?
Masikini Tanzania yaani kila nikikaa, nikilala,nikitembea najiuliza kwanini nilizaliwa Tanzania? Kwani kila kukicha utasikia huyu kafanya hivi huyu kafanya vile lakini sheria hawachukuliwi, ukiangalia mabunge ya Wenzetu wanachofanya kama mutu amevurunda kwanza mabishano kisha kichapo hapo hapo ukumbini lakini kwetu watu wamelala wakiibuka wanapiga makofi. Yaani kila nikiamka lazima nijipige makonzi kwani kazi yangu kuuza magazeti najilaumu sana kuzaliwa Tanzania ni kheri ningezaliwa Niger watu wanauchungu wa Nchi wanaona Rais anawapotosha wanaamua kumpindua na wanachi wanasapoti sio hapa. Najuta sana kuzaliwa Tanzania kama ningekuwa na pesa ningeukana huu Uraia.
Swali la msingi kabisa kwanini ulizaliwa Tanzania?
Pale au wewe upo matawi??? maana siye tumechoka na maisha haya mwana tunakabwa mchana kwaupe na watu wanakuona hawakupi msaada
ulikuwa unataka uzaliwe nchi gani?..haiti? nigeria?iraq? pakistan ? kilwa ? palestina au kabul?
usije ukataja US:
Popote duniani watu wana vituko, dunia uwanja wa fujo..