Urenga One
Member
- May 22, 2009
- 50
- 1
Masikini Tanzania yaani kila nikikaa, nikilala,nikitembea najiuliza kwanini nilizaliwa Tanzania? Kwani kila kukicha utasikia huyu kafanya hivi huyu kafanya vile lakini sheria hawachukuliwi, ukiangalia mabunge ya Wenzetu wanachofanya kama mutu amevurunda kwanza mabishano kisha kichapo hapo hapo ukumbini lakini kwetu watu wamelala wakiibuka wanapiga makofi. Yaani kila nikiamka lazima nijipige makonzi kwani kazi yangu kuuza magazeti najilaumu sana kuzaliwa Tanzania ni kheri ningezaliwa Niger watu wanauchungu wa Nchi wanaona Rais anawapotosha wanaamua kumpindua na wanachi wanasapoti sio hapa. Najuta sana kuzaliwa Tanzania kama ningekuwa na pesa ningeukana huu Uraia.
Swali la msingi kabisa kwanini ulizaliwa Tanzania?
Swali la msingi kabisa kwanini ulizaliwa Tanzania?