kwa nini tz tunakeep left?

kwa nini tz tunakeep left?

donydomy

Member
Joined
Jul 19, 2016
Posts
8
Reaction score
3
Tz huwa tunapita mkono wa kushoto au upande wa kushoto sababu haswa huwa ni nini?
 
kwanini wengine nao wana keep right kama jibu unalo basi hata swali ulilouliza jibu utakuwa nalo
 
mnafuata mfumo wa uk,wakati ulaya zingine usukani upo kushoto
 
Back
Top Bottom