Kupeleka shida kwa wafu ni kupoteza muda na kujiongezea laana ya mwenyezi mungu,kwanza kuna uwezekano huyo aliyefariki ambaye unamuomba akusaidie huko aliko ana shida kubwa kuliko ulizo nazo wewe.Cha msingi ni kumcha mwenyezi mungu wakati wa raha na hata wakati wa shida na kuelewa kwamba shida ni mitihani ya kawaida ya mwenyezi mungu,kwani dunia ni kama shule na hakuna shule utakayosoma bila kupewa mtihani,pia jinsi unavyopata changamoto ndivyo unavyozidi kuimarika.Nimekua najiuliza ni kwa nini mala nyingi hasa mwisho wa mwaka utasikia watu wengi wanakimbia majumbani mwao hasa vijijini na lengo ni kwenda kuwaombea ndugu walioishatangulia kwa maana ya kufa.
Wanaenda mbali na kupeleka maombi yao juu ya maisha yanayowazunguka kwa hao waliokufa,ni kweli kuna maana yoyote au kuna ulazima wa kufanya hili?kama ni kweli MUNGU tunaemuabudu na kuamini kua yupo na ndiyo alietuumba anapata nafasi ipi iwapo tutafikia kupeleka shida zetu kwa wafu?
Wanawezaje ilihali ni wafu?na unapata imani ipi kwa ulichosema hapa,umewahi kumshuhudia mfu akikusaidia ktk shida?kuna kitabu cha imani kinachoweza kutupa ukweli kua ukiwaomba marehemu watatatua matatizo yetu?Coz wao wako another place tyr. na wanatuona kila tuendako na tufanyalo na wana uwezo wa kutufanyia vile tutakavyoomba kwao na wakatekeleza
Ameeennnnn...Ni ujinga kukaa kubishania kitabu ambacho umetunziwa kwa zaidi ya miaka 1500 afu unawabishia watunzaji wenyewe. Hilo tu la kuihifadhi biblia mpaka vikanisa vya 1800 kuanza kutumia ni heshima tosha. Kama hamuwez kuheshimu kwa mengine basi hata kwa hilo tu. Nimeshangaa ktk mijadala humu kila panapogusa historia ya biblia kuna wakatoliki wengine hawasikiki kabisa. Tena nimesha gaa ktk mjadala humu kumbe hata utatu mtakatifu waliujadili wao na leo ni imani kuu kwa makanisa mengi.Vitabu mmevipokea tu ila mnajifanya nondo kuliko hata waliovikusanya. Muwe na heshima na adabu kwa kanisa mama. Haiwezekani mengine myakubali kwamba waliongozwa na Mungu mengine myaache kwamba ni ya shetan. Kuna mchango mkubwa wa kanisa katoliki ktk makanisa mengine. Hayo mengine ni porojo za kutafuta waumini. Hasa kwa kuwa ndio dhehebu lenye waumini wengi kila mtu analiangalia kwa husda. Mungu libariki kanisa katoliki
Ni ujinga kukaa kubishania kitabu ambacho umetunziwa kwa zaidi ya miaka 1500 afu unawabishia watunzaji wenyewe. Hilo tu la kuihifadhi biblia mpaka vikanisa vya 1800 kuanza kutumia ni heshima tosha. Kama hamuwez kuheshimu kwa mengine basi hata kwa hilo tu. Nimeshangaa ktk mijadala humu kila panapogusa historia ya biblia kuna wakatoliki wengine hawasikiki kabisa. Tena nimesha gaa ktk mjadala humu kumbe hata utatu mtakatifu waliujadili wao na leo ni imani kuu kwa makanisa mengi.Vitabu mmevipokea tu ila mnajifanya nondo kuliko hata waliovikusanya. Muwe na heshima na adabu kwa kanisa mama. Haiwezekani mengine myakubali kwamba waliongozwa na Mungu mengine myaache kwamba ni ya shetan. Kuna mchango mkubwa wa kanisa katoliki ktk makanisa mengine. Hayo mengine ni porojo za kutafuta waumini. Hasa kwa kuwa ndio dhehebu lenye waumini wengi kila mtu analiangalia kwa husda. Mungu libariki kanisa katoliki
Jaman baada ya kifo ni hukumu. Mungu hutupa nafasi tuwapo hai kutengeneza maisha yetuni wazi ya kua MUNGU ni mwenye huruma na upendo na anasikiliza maombi yetu,nasi tumemjua MUNGU kwa kupitia vitabu vyake vitakatifu,kwa upande wetu tumemjua MUNGU kwa Biblia takatifu,na katika Biblia hio tumeambiwa kila kilichoandikwa kule kimetoka kwa MUNGU na kimeakikishwa na kinatufaa sisi katika mafundisho,, katika Biblia takatifu kitabu cha wamakabayo 12;38-45 ukisoma kwa makini na kwa minajili ya kuelewa hautakuwa na sababu ya kuwa na shaka kumuambea marehemu msamaha kwa MUNGU kwa yale alioyafanya yalio kinyume na mapenzi yake MUNGU kama alivyofanya huyo Yuda katika kitabuhicho cha wamakabayo,na kusauri G'taxi ukakisome kwa vyovyote vile kitafute katika Biblia ile iliokamilifu na sio ile yenye vitabu pungufu. kila la heri ndugu.
hukumu ya aina gani unayoisema ndugu...Jaman baada ya kifo ni hukumu. Mungu hutupa nafasi tuwapo hai kutengeneza maisha yetu
Ni hukumu gani unategemea unapokufa? Watendao mema uzima wa milele wadhambi moto usiozimahukumu ya aina gani unayoisema ndugu...
sio kweli ndugu balimar... .. . mungu mwenye upendo na huruma hawezi kuwachoma moto wa milele watu wake aliowaumba mwenyewe .Ni hukumu gani unategemea unapokufa? Watendao mema uzima wa milele wadhambi moto usiozima
Kwa
Kwahiyo sodoma na gomola aliwawekea baridi mpaka wakaganda?
NO.... simzungumzii yule mungu wa sodoma na gomora(wa agano la kale), bali namzungumzia yule aliye sirini Mungu mkuu mwenye upendo na huruma...Kwa
Kwahiyo sodoma na gomola aliwawekea baridi mpaka wakaganda?
Duu CcHapa watu mnachanganya vitu v3
1. Kuwaombea marehemu
2. Kuwaomba marehemu
3. Baada ya kifo ni hukumu(kuna siku ya hukumu,somen Bible vzur,IPO siku ya hukumu ambapo Yesu atawatenga kondoo na mbuz na kuuliza maswali Yale ya nilikua na njaa,nilikua uchi,nilikua mgonjwa nk nk sasa pipo znachanganya hiz states )
Nianze na nmba 3
Ni kweli baada ya kifo ni hukumu BT calculate time ya day ya hukumu kutoka siku unakufa had siku ya hukumu,kuna muda apo ambapo departed souls znakua zpo somewhere nafikir hivo
Namba2
Kuwaomba marehemu
Hii inategemea huyo marehemu,kuna ambao wanaish inafaa kuwaomba mfano Yesu alienda kusali akatokea Musa na Elia mtasema Elia alipaa sawa ila Musa alikufa
So kuna watakatifu ambao hutusaidia kama Yesu alisaidiwa labda Faraja /Confort na hawa ndugu Musa na Elia sembuse wewe/Mimi kwann nisiombe Msaada wao
3. Kuwaombea wafu/marehemu
Hapa nakuja ngoja niweke charge simu inazma