chichiboy1
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 1,413
- 1,910
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]1. Lengo LA kuvaa condom machoni, ni ili kujinginga na upepo mkali na kuzuilia vumbi lisiingie Machoni lakini pia hutumika kupunguza Mwanga wa jua.
2. Unatakiwa kuvaa pale unapoona umekutana ns MTU unamsalimia halafu haitikii utadhani hajakuona.
nimeipenda hiiii hahahahaatar weka mbali aiach mtuuu1. Lengo LA kuvaa condom machoni, ni ili kujinginga na upepo mkali na kuzuilia vumbi lisiingie Machoni lakini pia hutumika kupunguza Mwanga wa jua.
2. Unatakiwa kuvaa pale unapoona umekutana ns MTU unamsalimia halafu haitikii utadhani hajakuona.
Kujikinga na magonjwa ya zinaa.Wanajamvi,
Kama heading inavyojieleza, Kwa nini tunavaa condom wakati wa tendo?au ni mtu wa namna gani unatakiwa kufanya nae tendo kwa condom?
Mkuu piga kavu tu hakuna namnaWanajamvi,
Kama heading inavyojieleza, Kwa nini tunavaa condom wakati wa tendo?au ni mtu wa namna gani unatakiwa kufanya nae tendo kwa condom?
Kweli mjinga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Urembo tu.
Kwa hiyo mlitegemea wajifunze lini na wapi?Haya mambo ya assignment zenu darasani kutuletea huku si hatutaki
vitu vya aibuUnaweza kukuta aliyeuliza ana miaka 12 Aliyejibu above 30