Kwa nini tunaamini wanasiasa

Kwa nini tunaamini wanasiasa

calmdowndear

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2011
Posts
605
Reaction score
275
Hivi inawezekana vipi watu wasomi na akili tumamu wakaamini wansiasa?

1528692_10151928171283547_1682019480_n.jpg
 
Tazama hilo gazeti lilitoka lini na leo tarehe ngapi na juzi tumeambiwa nini na Tanesco?
 
Hivi inawezekana vipi watu wasomi na akili tumamu wakaamini wansiasa?

1528692_10151928171283547_1682019480_n.jpg

kuamini wanasiasa ndicho chanzo cha umaskini wa watanzania.badala ya kufanya kazi na kubuni mbinu mbali mbali ya kujiingizia kipata,wanapoteza muda mwingi katika kushabikia wanasiasa huku wakidhani wataletewa maendeleo.yaani wanasubir wanasiasa wawaletee maendeleo.
 
Ni vigumu kwa mwananchi kuishi nje ya siasa kwani siasa ni " ni mfumo wa maisha wa jamii uliokubaliwa na jamii hiyo ili kujiletea maendeleo" ... hakuna mpango binafsi wa mtu utakao weza kuwa na maendeleo nje ya siasa kifupi lazima kila mtu atambue umuhimu wa kuielewa siasa ili aweze kuishiriki mijadala ya kisiasa kuleta tija ya jamii na maendeleo yake kwa ujumla.

Ushiriki wetu dhaifu ndiyo sababu tunaamuliwa mambo na wanasiasa lakini wanasiasa hawataweza kuwa miungu watu kama tukikataa kuburuzwa kwa mawazo hafifu na yasiyo na tija ya moja kwa moja kwetu.
 
Tulia kwanza sindano ndio Tina sahihiii na bora kabisa. Wanasiasa wanatupiga sindano za moto tusiwe na wasi tutapona tu.
 
Muhongo atawatukana tena...shauri lenu. Huyu baba anaona ni yeye tu mwenye akili Tanzania! Ame prove failure sana katika hii wizara!
 
Back
Top Bottom