Kwa nini tufungwe na Histora inayotutenganisha ! Badala ya kutuunganisha?

Pius J. Kiwarya Lema

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
1,097
566
Haya ni Maoni yangu !

Hakuna namna yeyote
Unaweza kurudia Uchaguzi Zanzibar,

Rais.Tanganyika akabakia
wa Muungano Kisiasa !

Wanaodaiwa hawakuwa na sifa ,
Ndio walimpigia kura Magufuli zikawa halali

Hao hao waliokuwa na sifa
Kwa kura za Muungano yaani Mbunge na Rais

Wanaambiwa Hawana sifa kwa kura
Tatu za Zanzibar na kura zao zimefutwa !
Kumbuka jambo hili siku zote !

Moja ya sababu kuu ya Msingi inayodaiwa kufutwa uchaguzi ni :
Kuwepo kwa Wapiga kura wasio na sifasifa

Je hawakupiga za Muungano ?

Kwa nini mbili ziwe halali na tatu ziwe batili wakati mpigaji wa kura ni huyo huyo,
Kituo hicho hicho ,Chumba hichohicho,

wasimamizi hao hao Masanduku yanahesabiwa hapoahapo ???

Na kura zaidi ya 99 % za Muungano zinatokana na wapigakura

walioandikishwa kwenye daftari la zazbar ambao walikuwa
batili ndo maana ukafutwa kwa wengi wao kukosa sifa ?

Ukiwasikiliza sana wanadai Zazibar ina siasa zake na mambo yake ??
Kwanini.

Tunarithisha watoto wetu siasa za kibaguzi ??

Kwa nini tufungwe na historia
Inayotupeleka kwenye Maangamizii siku za usoni ??

Mwalimu Nyerere aliwahi kusema:
""
""Nitakuwa mtu wa Ajabu sana
nione mtu anafanya vitendo.
vya kihatarisha Muungano wetu
halafu nikae kimya ""!!

Yaani Jecha anafanya yake Mnanyamaza tu ?

Shikamoo Tanzania

Kwa Maoni yangu :

Hapa tulipofika
Ubabe haitasaidia ,
Tuangalie Mbele zaidi Zanzibar
na Tanzania itakuwa katika hali gani ,?

Viongozi wajihoji Ujumbe
gani tunauandika kwenye vifua
vya Watoto wetu !!

Madaraka hulevya! Usiombe uyapate !

Chanzo: ,
Mimi mwenyewe
Kiwaryalema
 
Back
Top Bottom