waghana wamemloga baada ya kudaka mpira uliokuwa tayari umeingia golini.uliowanyima ghana kuwa timu ya kwanza afrika kunusa nusu fainali ya kombe la dunia chezea waghana.kika mwaka hakosi adhabu.mpaka akaombe msamaha
Kusema Kweli Suarez anatakiwa akapimwe kichwa chake, Unajuwa watoto wenye Umri wa miaka 5-13 ndio wana tabia za wakikasirika na kushindwa kitu wakajuwa yule anayeshindana naye kashamzidi uwezo huwa wanangata au kama kuna jiwe pembeni anaenda mbali kwanza ndio anarusha lile jiwe, hii inatokana na hasira zikizidi mpaka mishipa ya damu inachemka vibaya utafanya kitu hutegemei sababu Suarez sio mara yake ya kwanza na hata akikosewa kidogo hurukaruka kwa hasira mikono juu maneno kule huku inaonyesha anamatatizo makubwa sana, kama hajasaidiwa na kujisaidia atakuja kumuuwa hata mkewe siku na kisu! hii haina tofauti na wachezaji wanaorusha ngumi zaa ajabu au kumnganyaga mtu sehemu za siri anapokuwa chini ya uwanja! kengine siku hizi tupo kwenye kitu kinaitwa Social Media mtu akifanya kitu kinaonekana nibalaa sana mfano Ugomvi wa kina Roy Keane na Veira ungekuwa zama hizi basi balaa la Comment lingezidi na lingeipa Power wengi au la wachezaji wanaomtemea mtu mate usoni.
TURUDI CHAMA CHA MICHEZO CHA UENGEREZA NI WANAFIKI NAMBA MOJA NI VIZURI WAO KUMPIGA FINE MTU GAME NANE HUYU SUAREZ NA PESA JUU ILA UNAFIKI WAO UNAKUJA WAO WACHEZAJI WAO WAKIFANYA HUWATETEA NA KUNA SABABU ZA KUWATETEA MFANO MCHEZAJI LIGI YA UENGEREZA ANAPIGWA GAME 3 NJE NA FA WAKIJITETEA HAWABADILISHI BAN ILA WAO MFANO ROONEY KAMPIGA TEKE MCHEZAJI MECEDONIA WAO WAMEENDA KUTAKA IPUNGUZWE JENGINE DIOUF ALIMNGATA MASCHERANO ILA SABABU NI MCHEZAJI WAO WANAMUHITAJI ENGLAND WALIMALIZANA JUU KWA JUU JENGINE TULIONA RIO FREDINAND AKIMPIGA KIBAO TORRES WAZIWAZI WAKASEMA REFA HAJAONA NA WAO HAWAJAONA JAPO VIDEO KIBAO ZILIONYESHA USHAHIDI KWANINI KIPINDI HICHO RIO HAKUPIGWA FINE? SABABU NI WALISHAANZA KUMTAKA RIO KWENYE TIMU YA TAIFA NA WALITAKA KUJISAFISHA KWA RIO KWA KITENDO WALICHOMFANYIA RIO SASA MATOKEO YAKE RIO KUITWA TIMU YA TAIFA NA YEYE AKAWALIA BATI KAWATOLEA NJE. HAWA FA WANATAKIWA WASIWE WATU WAKUSITA KWENYE KUPIGA FINE WATU NAKUTIZAMA NANI MTU WAO. MFANO MWNGINE TULIONA SERGIO AGUERRO AKIMRUKIA MBILI DAVID LUIZ ILEILE ANGEFANYA SUAREZ SABABU YA TABIA YA SUAREZ INGEKUWA MANENO MWEZI MZIMA AU ANGEMRUKIA ZILE SUAREZ MTU MWEUSI BASI BALAA LINGEZIDI KWAKE SO SUAREZ ANATAKIWA AJIFUNZE TABIA YAKE LA SIVYO ATAKUJA KUMUUWA HATA MKEWE NA FA NAO WAJIFUNDISHE KUTOWA UPENDELEO.
Bora yule mtoto pale muhimbili alikutwa mochwari wala hakuna ushahidi wa kutosha..huyu jamaa anakula watu wakiwa hai mbele ya maelfu ya watu na hajakamatwa mpaka leo! Duniani kuna mambo!