Kuichukia Man U ni sawa na kuichukia mvua lazima ikunyeshee kakandugu yangu we acha tu...........mimi nimeacha kabisa kuangalia Manyuuuuu
nimwamini wapenzi wengi/wote wa Manyuuu ni wa miaka ya kuanzia 2010..........
pekuapekua utaona ni Logo yenu ya mwakani mkuuHalafu hiyo ' logo' uliyoweka hapo sio yetu! Yetu ina shetani,wewe umemweka refarii! Hebu fanya editing hapo au ngoja nitatupia yetu uione,ila bwana mdogo mpira ni akili! Man U wana akili !![]()
![]()
basi nasahihisha wapenzi wengi wa Man U ni tangu pale ilipoanza kushinda.................namaanisha hapa kwamba kitakwimu wengi waliojiunga na Man U kwanza hawana historia ya kina ya huko nyuma na pili ni waoenzi ambao wamejiunga wakati huu ikiwa inashinda sana (luninga imesaidia pia kutujuza)na ndio maana wengi wao ni watoto (kwa hapa Tz)...........soka ni utani mkuu naona unachukulia siriasi.................uki-judge halafu ukakosea huwa hadhi yako inashuka sana!unawezaje kusema wapenzi wa man utd ni kuanzia 2010?
haters will never walk alone