Kwa Nini Siangalii Mechi za Man U...

Kwa Nini Siangalii Mechi za Man U...

Haters bana! Mtabaki hivyo hivyo.. GGMU

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
ama kweli huenda nikafa nacho kijiba cha Roho
 
dah! Lazima utakuwa fans wa chelsea...pole sana kaka kama vp kunywa sumu...viva Man U
 
dah! Lazima utakuwa fans wa chelsea...pole sana kaka kama vp kunywa sumu...viva Man U
asafadhali ningekuwa wa Chelese, hali yangu ni tete zaidi, naffuuu ya kupanga kukatia ubapa.......dhofli hali.natafuta japo timu ya kushangilia kwa mkopo......................lakini sio Manyu
 
asafadhali ningekuwa wa Chelese, hali yangu ni tete zaidi, naffuuu ya kupanga kukatia ubapa.......dhofli hali.natafuta japo timu ya kushangilia kwa mkopo......................lakini sio Manyu
Angalia usije kuwa fans wa liverpool coz nakuonea huruma sana mkuu
 
Hiyo timu sio ya kuiangalia kabisa kwanza mzee wao anawatisha marefa kila wakati na ndio maana inabebwa
 
Angalia usije kuwa fans wa liverpool coz nakuonea huruma sana mkuu
shabiki wa LFC hadi sasa ujue hata kwenye maisha ni MVUMULIVU SANA.................hujakosea mkuu hata wewe nakuvumilia.....................................
 
:biggrin1: we have a never say never attitude brother...sisi hua tunacheza na kutafuta magoli mpaka refa apulize filimbi... sio kama arsenal or liverpool wanaocheza 60mins tu the rest wanakua wamesinzia... LONG LIVE THE REDZ....LONG LIVE SIR ALEX maana yeye ndio ametupa hiyo attitude...that its never over until its over
 
waulizeni Bayern Munich 1999. au hamia barca kama wenzio
 
kujamb.a ajambe amavubi akijamb.a juma necha habari magazetini!

tatizo lenu mnazungumzia marefa pale inapokuwa man utd tu!hata man utd akiumizwa hamsemi!goli tata la 2 la newcastle ingekuwa letu ingekuwa taabu mtaani,penati tuliyonyimwa hamuoni nyinyi wanga!santi cazola alipewa penati juzi wala hakuguswa ktk mechi na west brom

anyway tunajua kwanini mpo hivyo....kwa vile sisi ni washindi na washindani daima!tutabaki juu siku zote
 
..........LONG LIVE SIR ALEX and WEBB maana yeye ndio ametupa hiyo attitude...that its never over until its over[/QUOTE]WEBB ulimsahau ..............................
 
hate us or love us bt we still gonna b on top...:A S soccer:
:majani7::A S angry:😱hwell::shut-mouth::glasses-nerdy::smiling::becky::madgrin::A S soccer::A S soccer::A S soccer::A S soccer::A S soccer::A S soccer::A S soccer::A S soccer:
 
nimwamini wapenzi wengi/wote wa Manyuuu ni wa miaka ya kuanzia 2010..........
kujamb.a ajambe amavubi akijamb.a juma necha habari magazetini!

tatizo lenu mnazungumzia marefa pale inapokuwa man utd tu!hata man utd akiumizwa hamsemi!goli tata la 2 la newcastle ingekuwa letu ingekuwa taabu mtaani,penati tuliyonyimwa hamuoni nyinyi wanga!santi cazola alipewa penati juzi wala hakuguswa ktk mechi na west brom

anyway tunajua kwanini mpo hivyo....kwa vile sisi ni washindi na washindani daima!tutabaki juu siku zote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom