Jitindejangongwa
Member
- Jan 17, 2013
- 28
- 3
Hivi jamani wadau naomba mnisaidie, kuna nini katika kizazi hiki cha dot com? Kwa nini ndoa hazidumu? Nini kifanyike ili ndoa zidumu?
Labda tueleze unataka zidumu vipi mkuu, mbona zinadumu fresh tu, sema life style kidogo imekuwa changamoto kulinganisha na zamani!Hivi jamani wadau naomba mnisaidie, kuna nini katika kizazi hiki cha dot com? Kwa nini ndoa hazidumu? Nini kifanyike ili ndoa zidumu?
Kama hoja ni kufahamiana vema basi zamani ndo wala watu hawafahamiani kabisaaa unaweza mkuta mtu anachumbia mimba yaani kabla hata hajazaliwa!Hakuna maadili.tamaa,watu wanaoana bila kufahamiana vizuri, m_sayi@yahoo.com
Hivi jamani wadau naomba mnisaidie, kuna nini katika kizazi hiki cha dot com? Kwa nini ndoa hazidumu? Nini kifanyike ili ndoa zidumu?