Kwa nini mkimaliza kusex usimpompa dem ela anachukia?

wamkodowenye

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
261
290
Hili swala nimenitokea mara kadhaa pia na kulisikia kwa marafiki zangu sana.. Unapokua na dem siyo mke lakini muelewe hivyo.. Unaweza mwomba tuonane akakuambia Nauli hana ukatuma anakuja mnakula mnakunywa tena anaagiza vitu vya bei mnachukua room mnachungana tena kidume unakaza usidharaulike isitoshe hapo huwa wanasikia raha zaidi.. Ila mkimaliza mkioga saa ya kuondoka atakua anakusikilizia unamtoa sh ngp? Usipomtoa utaona macho yamemtoka kama fundi saa.. Hivi nyie wanawake hiyo kitu yenu mmeichukulia kama kitega uchumi? Bc tembeeni na mashine za kutolea risiti basi...mnauzi sana raha tupate wote na mnapata nyie raha zaidi bado na ela nitoe?
 
Hivi hata kama ni wewe ungekuwa unauza duka kwa mfano rafiki anakuja kama mteja anaomba umpe sukari kilo moja ile unampa tu jamaa anasema pesa siku nyingine, ungefurahi??
Women do sell that small kitumbua-like raised structure. Na wanajua kuwa ni ya kibiashara toka wanapotambua tu kuisafisha na kuificha ndani ya pants
 
Mimi kama sina hela.simuiti demu wangu
Naona aibu.aondoke hata hela ya maji njiani hakuna.
Siwezi.inatupasa tuwaonee huruma hawa viumbe maana kazi wanayofanya ni kubwa na ya kujitolea.
 
Back
Top Bottom