FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,417
wakuu, hv kwa nini wanawake wengi huwa wanaona kama halali yao kuhongwa? s wote, lakini asilimia kubwa ya wanawake akiwa na mshkaji anaona matatizo yake yanaishia hapo...mara nataka vocha!, mara losheni!
mkitoka auti kulipa bill tu mziki!....si wasomi, si wa uswahilini!
kaka kuna tofauti kati ya..... to provide for the family and giving out money to maintain harmony. kwani mshahara wake unakwenda wapi?mshahara wa waifu huwa nausikia tu bombani!lakini sina namna.ninachotaka kwake ni mapenzi tu.na ili nimaintain mapenzi lazima nihakikishe ninamaintain social-harmony!she must be happy
Boyfriend wangu kanipa ATM card yake plus password. ila nisitoe zaidi ya laki sita kwa mwezi. na masharti natimiza. kusema kweli nampenda sana
MMMH! laki sita za nini? anakulipa that is!!! for the service you are extending to him? do you love heim for that? If yes, mbona kuna watu wanaweza kukupa ATM uchukue 1m? ukimpata anayepanda dau si utamkimbia wewe!!!Boyfriend wangu kanipa ATM card yake plus password. ila nisitoe zaidi ya laki sita kwa mwezi. na masharti natimiza. kusema kweli nampenda sana
umesomeka mkuu!kaka kuna tofauti kati ya..... to provide for the family and giving out money to maintain harmony. kwani mshahara wake unakwenda wapi?
As man, i provide for my family.....lakini kama wife ana mshahara (inategemea ni bei gani sasa, inaweza kuwa tuhela tuchache twa pamba za karume) lazima tuziweke pamoja kimkakati kwa maendeleo.
ndivyo walivyoumbwa!
mimi sijawahi kuuona mshahara wa wife,na kila siku hela nampa!
huyo ni BOIFRENDI!nachelea kusema kwamba ninyi ni mahawala!hayo ni malipo yako baada ya (.........)Boyfriend wangu kanipa ATM card yake plus password. ila nisitoe zaidi ya laki sita kwa mwezi. na masharti natimiza. kusema kweli nampenda sana
swadakta! leo hali ya hewa haihamasishi kinywaji.!!!.......nitakutafuta kwa Mtitu au nicheck kaunta ya Oryx jioni.umesomeka mkuu!
mambo vipi lakini?
poa poa mkulu!swadakta! leo hali ya hewa haihamasishi kinywaji.!!!.......nitakutafuta kwa Mtitu au nicheck kaunta ya Oryx jioni.
Mi kwa kweli sikubaliani na hilo, tatizo ni jinsi unavyomlea demu/mkeo ndivyo hivyo itakavyokuwa siku zote, ukimlea kwa kumpa mkwanja basi utatoa mpaka utakoma, lkn km mkizoeshana kupeana wala haina neno, siku akiwa nazo anakupa nawe ukiwa nazo unampa, kwa mfano mi na mke wangu tunagawana japo yeye anapata nyingi kuliko mimi!
Boyfriend wangu kanipa ATM card yake plus password. ila nisitoe zaidi ya laki sita kwa mwezi. na masharti natimiza. kusema kweli nampenda sana
poa poa mkulu!
hapo hapo ndy pabaya, niliwahi kushuhudia ugonvi wa mshakji mmoja na mkewe (ndoa ya kishkaji) jamaa alikuwa na biashara inamlipa vzr, wakakorofishana na demu, demu akakomba kila kitu wakati mshkaji hayupo! Kisha akarudi kumsubir........mshkaji anauliza vp mbona umeondoka na vitu vyangu "mpaka friji?" demu anabetua midomo "eee..kwani ulikuwa unanifanya bure?" ilishawahi kutokea mademu wangu kadhaa enzi sijaoa, wakawa wananito kishenzi vipesa, vocha zawadi nk, lakini kumbe wanawekeza...baada ya muda unaskia nikopeshe milioni 6 biashara yangu imeroga!! Mwe mwe mweh, ukimkopesha tu umeliwa!!
wewe bana!hahahahahahah.unakunywa bia gani wewe?WEITAAAAAAAAA MPENI SHEMEJI SERENGETI!Hapo ndipo napokupendea bwashee. Ungeambiwa mkutane church kwenye kwaya ungamwambia sore mukulu, leo nko tight sana! Bwahe bana! Hahahaha!
wakuu, hv kwa nini wanawake wengi huwa wanaona kama halali yao kuhongwa? s wote, lakini asilimia kubwa ya wanawake akiwa na mshkaji anaona matatizo yake yanaishia hapo...mara nataka vocha!, mara losheni!
mkitoka auti kulipa bill tu mziki!....si wasomi, si wa uswahilini!
MMMH! laki sita za nini? anakulipa that is!!! for the service you are extending to him? do you love heim for that? If yes, mbona kuna watu wanaweza kukupa ATM uchukue 1m? ukimpata anayepanda dau si utamkimbia wewe!!!
Kumpa GF wako hela sio kumhonga babaee! na wala sio kumnunua! kama kununua mnakubaliana bei kabla ya mchezo. yaani watu wengine bana.
wewe bana!hahahahahahah.unakunywa bia gani wewe?WEITAAAAAAAAA MPENI SHEMEJI SERENGETI!