Kwa nini Mafundi sio waaminifu n...??

Kwa nini Mafundi sio waaminifu n...??

Joined
Jan 2, 2019
Posts
65
Reaction score
79
Habari mdau..Je na wewe umewahi kupitia kazia hii ya kupata fundi (Ujenzi) asiye na uaminifu yani mdokozi...??
Bila shaka zipo sababu 2 ambazo mimi binafsi naona ndio chanzo cha Mafundi wenzangu kukengeukiwa kwa mabosi zao:-
1) MAKUBALIANO/MAPATANO YA KAZI...hili ndio chanzo kikubwa cha mafundi wengi kupoteza uaminifu wao katika kazi zao.Mapatano yasiyokizi, yasiyoendana na kazi hii ni chanzo kikubwa cha Mafundi ujenzi kutokuwa na Uaminifu.. Hudokoa Cement,Nondo na vingine ili mradi tuu kujazia pengo analoliona kwenye kazi anayoitekeleza.... KUEPUKANA NA HILO TUESHIMU NA KUCHAGUA VILIVYO BORA 🪖🦺🔨⛏️
2) MAZOEA YA MTU KUTOKANA NA MWENENDO WA KAZI ZAKE ZA KILA SIKU.. hapa hakuna maelekezo mengi nazani kila mmoja anatambua tatizo ni mazoea..

KUEPUKANA NA YOTE HAYO TAMBUA NYUMBA NI MAISHA YAKO KWANI NI NDOTO YA KILA MMOJA NA TUNAIPIGANIA KWA JASHO...TUMIA GHARAMA ILI UJENGE KILICHO BORA....

@SHEBWA MASONRY CONTRACTION 🪖🦺🔨⛏️ WHATSAPP 0673817130
 
Kwakua kazi zao zinapimwa hapo hapo, ila hicho unachokiona kipo kila sector kwa namna tofauti.
Ni tatizo la kitanzania km sio Africa.
Kweli kabisa muhimu kila mwenye Nafasi kilinda chake
 
Si waaminifu kwa kuwa wao siyo mashehe, wachungaji ama mapadre.

Simple like that!
Bado hujapigwa na kitu kizito na hao Wachungaji na Mashehe ukigundua baadhi yao ni "kondoo kwa nnje ila ndani ni mmbwa mwitu" ili uje JF kushuhudia.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Ilikuajee ...pole sana
Nilikuwa na ujenzi wa nyumba yangu Sasa nilikuwa siudhurii sana saiti nilikuwa bize na kazi zangu sasa alikuwa akiniambia kunahitajika mifuko kiasi fulani basi namuagizia kumbe alikuwa anataja idadi kubwa na Kwa kuwa nilikuwa sifuatilii basi akatumia nafasi kuiba ila Kuna msamaria mwema baadae alikuja kunipa taarifa hakika nilimtimua
 
Aise pole sana kwa hilo... Usimamizi ni muhimu sana kwenye ujenzi... Mafundi asilimia kubwa tunazingua sana
 
Bado hujapigwa na kitu kizito na hao Wachungaji na Mashehe ukigundua baadhi yao ni "kondoo kwa nnje ila ndani ni mmbwa mwitu" ili uje JF kushuhudia.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Mkuu mimi mwenyewe ni mchungaji wa mchongo, nawatapeli waumini na nakula makondoo.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is work.
 
Habari mdau..Je na wewe umewahi kupitia kazia hii ya kupata fundi (Ujenzi) asiye na uaminifu yani mdokozi...??
Bila shaka zipo sababu 2 ambazo mimi binafsi naona ndio chanzo cha Mafundi wenzangu kukengeukiwa kwa mabosi zao:-
1) MAKUBALIANO/MAPATANO YA KAZI...hili ndio chanzo kikubwa cha mafundi wengi kupoteza uaminifu wao katika kazi zao.Mapatano yasiyokizi, yasiyoendana na kazi hii ni chanzo kikubwa cha Mafundi ujenzi kutokuwa na Uaminifu.. Hudokoa Cement,Nondo na vingine ili mradi tuu kujazia pengo analoliona kwenye kazi anayoitekeleza.... KUEPUKANA NA HILO TUESHIMU NA KUCHAGUA VILIVYO BORA 🪖🦺🔨⛏️
2) MAZOEA YA MTU KUTOKANA NA MWENENDO WA KAZI ZAKE ZA KILA SIKU.. hapa hakuna maelekezo mengi nazani kila mmoja anatambua tatizo ni mazoea..

KUEPUKANA NA YOTE HAYO TAMBUA NYUMBA NI MAISHA YAKO KWANI NI NDOTO YA KILA MMOJA NA TUNAIPIGANIA KWA JASHO...TUMIA GHARAMA ILI UJENGE KILICHO BORA....

@SHEBWA MASONRY CONTRACTION 🪖🦺🔨⛏️ WHATSAPP 0673817130
Kama samia na CCM tu. Ndo tulivyo watz
 
Wote wanafanana tabia haijalishi fani.
Nadhani shida ni elimu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom