japhet nkwabi
Member
- Mar 8, 2013
- 91
- 15
Unakuta kijana kampa binti ujauzito(mimba) halafu anamkataa, binti anavumilia mpaka anajifungua na anaendelea kulea huyo mtoto, Mungu si binadamu binti anapata bwana wakumuoa akishaolewa unaona kile kidume cha kwanza kinaanza kumvizia tena huyo dada napata kigugumizi WHY!!!!!
thamani ya ke/me utaijua akiwa kashatoka kwako na awe na mpenzi mpya!
Na nyie wadada mjifunze kudate na wanaume na sio vibishoo vya mavazi mpaka akili...mwanaume wa ukweli hata kama una maisha magumu vip huwez kataa mimba kama yako
hivi hujui kwamba Tanzania bado tunatawaliwa na waingereza
Wewe wasema