Kwa nini kwenye mipango ya maendeleo hakuna ujenzi wa mabwawa?

ng'adi lawi

JF-Expert Member
Sep 27, 2014
2,956
1,114
Hapa nchini kila mwaka wakati wa masika kuna mafuriko yanayoleta maafa hasa maeneo ya vijijini ambayo yyanakosa hata maji ya kunywa kipindi ccha kiangazi. Kwa nini kusiwe na mpango endelevu wa kujenga mabwawa makubwa ya kudumu ya kuvuna maji.

Nchini Marekani kwenye majimbo yenye ukame kama Nevada, Colorado, oklahama wana mabwawa ambayo huhifadhi maji ambayo hutumika majumbani hata mvua isiponyeshesha. Mabwawa ninayozungumzia ni ya zege ambayo yanaweza kuunganishwa mabomba na siyo haya ya matope.

Serikali inaweza kujenga kwa awamu kwa kila kata kame.
 
Hilo linawezekana,japo lina changamoto kwakua mito mingi inayoletA mafuriko ni ya msimu
 
Back
Top Bottom