My name is judithHow old are you?
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Ticha mmoja alishawahi remark kwamba the best en happiest moments in life are xperinced within a short nick of time ndo mana watu wanafunga macho..daaah..kwa kweli mim hua nafungua macho kumuangalia..its a sign tht simkubali kivile..I hope ni wazima wanajf,katika pitapita zangu nimegudua kitu kuhusu kiss, mara nyingi mkiwa mnapiga kiss na mpenzi wako hasa kiss ya face 2 face mmoja au wote lazima mfumbe macho, ni kwanini hutokea hivi? Tena wakati mwingaine hata kiss za mashavuni bado macho yanafumbwa. Mwenye ufahamu na hili jambo naomba majibu.
I hope ni wazima wanajf,katika pitapita zangu nimegudua kitu kuhusu kiss, mara nyingi mkiwa mnapiga kiss na mpenzi wako hasa kiss ya face 2 face mmoja au wote lazima mfumbe macho, ni kwanini hutokea hivi?