Ni tatizo ambalo liko kwenye ufahamu sense ya sita ni imaginations ambazo zimejijenga taratibu hadi kuja kujenga taswira halisi kwenye ubongo, hivyo katika utendaji wa kawaida wa akili kila inapogonga hapo hugota na ni katika kipindi ambacho umeangalia hiyo SAA, mara nyingi huchukua sekunde kadha kabla ule mkwamo haujsondoka na kuona kitu katika uhalisia wake
Jaribu kuonana na madktari bingwa wa magonjwa ya ufahamu