Hahaa, kwani miaka 30 ndyo niaje niaje?, Mimi nna 30 now na sioni hata dalili so nianze kuwapigia miluzi [emoji30] [emoji30] . wakati sahihi ni wakati wa Bwana hivo hata nikiwa 40s wakati ukifika ntaolewa tuu. Ila ntakimbizana tu na menopause ntazaa faster faster vitoto vyangu vitano[emoji3] [emoji3]