Kwa nini hauolewi?

Kwann Africa tunashupalia sana wanawake kuolewa?

Tunawauliza kwann hawaolew wakat ata muulizaj ukute bado hajaoa.

Ndiyo maana wanawake wenye upeo mdogo wanakuwa desperate.
ha ha ha ha ha
 
Mkuu hili swali usiwe unawauliza wanawake mara kwa mara, ivi kwa akil ya kawaida kuna mwanamke mwenye sifa ulizozitaja hapend kuolewa kwa makusudi?

Afadhal aolewe akiwa 35+kuliko kuolewa na mwanaume anaejisifu na michepuko kila kukicha.
ha ha ha ha wakifikia miaka 40+ hawajaolewa huwa wanakuwa na akili za kitoto
 
Achrni wanawake Acheni wanawake wale bata, wachague wanaume wanaowataka na waolewe/kuoa wanakoona kunafaa.
Mimi naamini kuolewa ni bahati haijalishi mwanamke kasoma au hajasoma, anakazi au hana
Uko sahihi mkuu,lakini bila kuwa na jitihada usitegemee bahati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…