Walisema George bush not legitimate na sasa Trump .Walimpeleka bush Supreme Court .Black caucus member wakiongozwa na Lewis hawatakwenda inaguration ya Bush sasa Trump .Hivi kwa nini Democratic Party wanakuwa wagumu mnoo kuondoka madaraka ni?Clintons wapo mpaka Leo bush wote wamestaafu .Republican wakiondoka madarakani wanaondoka na democratic watang'ang'ania wewe.why