JohnShaaban
JF-Expert Member
- Aug 23, 2007
- 464
- 116
Waendeshaji wa Clouds ni opportunists:Jile79 said:Acha bwana vijana walisha nunuliwa kwa pesa za kutosha na ccm na mafisadi kwa hiyo wanatekeleza agizo la mkuu wao kusaga kwani ndiye aliyepewa mgawo ili vijana wafanye kazi za siasa kwenye clouds......nasikia kati ya wote kibonde ndiye alipewa mgawo mkubwa...............
watangazaji ni watu walioprove failure ya life so ni VILAZA..
KAMA UNASKIZA WEWE SKIZA MIZIKI TENA BAADHI TU
Acha bwana vijana walisha nunuliwa kwa pesa za kutosha na ccm na mafisadi kwa hiyo wanatekeleza agizo la mkuu wao kusaga kwani ndiye aliyepewa mgawo ili vijana wafanye kazi za siasa kwenye clouds......nasikia kati ya wote kibonde ndiye alipewa mgawo mkubwa...............
:lock1:Ukisusa unawapa nafasi ya KULA vizuri, dawa Ni ku wa Assassin hawa Wahuni kwanza hawana ulinzi wowote.
Jamani, kama ambavyo Chenge amediriki kugombea kwa kuchakachua, anahaki ya kugombea Uspika ka mtindo uleule....Kuna watu walishapata utando wa mawazo, utando wa akili, utando wa fikra na upofu wa kila aina. Chukua panzi aina ya senene anavyoweza kujificha kichwa huku zaidi ya 70% ikiwa nje.....ndivyo viongozi wetu wanaoamini kuwa UONGOZI kwao ni LAZIMA. Utawatambuaje?
1. Hawadhubutu kuongelea UFISADI waziwazi,
2. Hawatoi sifa yeyote hata kama ni nzuri vipi kwa umma inayotolewa na mtu aitwaye wa Upinzani,
3. Hujichekelesha chekelesha hata pale wasipotakiwa kuchekacheka mara wakutanapo na watu waliona maslahi nao
4. Huangalia upande mwingine wakikutana na watu maskini barabarani, isipokuwa wakati wa uchaguzi.
5. Hupenda kualikwa kwenye sherehe ili watoe michango mbele ya vyombo vya habari, nk
Mungu ONEKANA SASA.
Binafsi nimeanza kuwabadiri vijana wanaonizunguka kuhachana na redio hii... nina hakika nikiweza badiri watano nitakuwa nime'play my part'. Tuwaoneshe nguvu ya umma!!SUNGUSIA said:Ndugu zangu kushindana na mjinga ni kupoteza muda na energy ya kupambana na haya maisha yalio jaa ugumu mwingi. Chakufanya hawa jamaa wa Clouds ni kuwa ignore tuu hakuna kusikiliza clouds tunafanya propaganda kwa akili sana hasa kwa kutumia sehemu kama hizi na nyingine ambazo watu watajua utumbo wao na kila mtu ataacha kuisikiliza na itapoteza umaharufu na mwisho wa siku watakuwa wanatangaza mambo ya CCM na nyimbo za John komba tuu. Hakuna ambacho hakiwezekani ni mipango na subira tuu na itaanzia humu humu mpaka mwisho wasiku wataona matunda. NAWAKILISHA HOJA.
wana maslahi na ccm! Lakini wajue kwamba watu hawaogopi kumwaga damu siku hizi. Mbona kufa tunakufa kila siku!! Kuishi maisha ya kimaskini na kugandamizwa nako pia ni kufa. Ni bora kumwaga damu nyingi kwa mara moja na baadae kutomwaga damu tena kuliko kuendelea kumwaga damu kidogokidogo milele!