Kwa nilio yaonaga ubunge mgumu

Kwa nilio yaonaga ubunge mgumu

bro alex

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2025
Posts
1,898
Reaction score
2,258
MWAKA Fulani nilipo KUWA musoma masomoni. Nilikutana na JAMAA MmOJA HAPO shuleni tukisoma WOTE JAPO kombi ziklikua tofauti, ILA bweni tulipangiwa MOJA, Hatukua marafiki SANA ILA tulipenda kupiga STORI za hapa na pale.

SIKU moja katika MAZUNGUMZO yetu, JAMAA alinidokeza CHANGAMOTO anazo pitia kwa KWELI NILIMUONA huruma SABABU alinipa STORI KUHUSU familia aliyo tokea. Kuna muda unabeba majukumu ilihali BADO mtoto kabisa inasikitisha ILA mi sikuwa na msaada SABABU mi mwenyewe NILIKUA tegemezi nyumbani nikiwategemea wazazi.

SIKU moja NAHISI ILIKUA juma Mosi, JAMAA ALINAMBIA ana mpango wa KWENDA kumuona mbunge WA musoma MJINI enzi HIZO ALIKUA vedustus mathayo, samahani kama nmelikosea jina lake nafikiri KITU ka hicho ALIKUA ni WA CCM. Nilishangaa SANA nikamuuliza JE HUYO mbunge atakusaidia MANA sizani kama ni WAJIBU wake YEYE akununulie WEWE viatu VYA shule. Mi sikua nafahamu hayo majukum mengine ya mbunge ya kusaidia familia za WATU MATATIZO ya ndani kama hayo.

JAMAA akanambia KUWA KULE KWAO mahitaji ya shule familia maskini zinafata kwa mbunge SIJUI ada nauli za KWENDA shule na kurudi MPAKA mahali za kuoa. Nikauliza HUYO mbunge ni NDUGU yenu MPAKA kubeba hayo MATATIZO. AKADAI hapana NDO KAZI yake. ilinishangaza SANA. Nikajibu ok POA KAMANDA utanipa mrejesho, JAMAA AKADAI POA HUKU ananyanyuka kuondoka.

KWENYE mishale kama ya SAA KUMI nilibahatika kuonana na JAMAA, nika MULIZA VIPI, JAMAA AKADAI hakumkuta ILA wameambiwa waende juma tatu atakuwepo HAPO KWENYE sheli yake ya mafuta. Nikasema basi POA. SA lile neno hawajamkuta Ina maana walikua WENGI YEYE pamoja na nzengo. Basi bwana jtatu JAMAA katimba MAPEMA , akamkuta kajieleza mathayo akaingia KWENYE droo akachomoa mpunga akampa JAMAA. Mshikaji akashukuru aksepa. Alivo Rudi akanihabarisha, nikashangaa SANA daah. Kumbe ubunge NDO huko HIVI..

Sasa MWAKA huu nilivo ona baadhi ya sura KWENYE kutia nia ilinishangaza kidogo HIVI na HUYU ataweza. Samahani Kuna WATU tawakwaza. HIVI Mimi niwe MTU WA mvomero TAWEZA enda kumuomba msaada mwijaku? SI naogopa atanitangaza KWENYE media kunikejeli na mengineyo.

Chief god love walinzi kibao maisha ya anasa TAWEZA penya KWENDA kumueleza CHANGAMOTO ZANGU nyumbani KWAKE kama ofisini hayupo? KITU kingine MTU unakaa dar masaa karibia YOTE CHANGAMOTO za WATU WA kigoma utazitatua kwa wakati? mara umesafiri na msanii KWENDA marekani mara HUKU utaweza mkuu?

Unafikiria kusajili wachezaji mara usafiri na TIMU KILA inapo enda UPO mara michuano ya kimataifa, utaweza kweli kuwasikiliza WATU ukawaelewa? Pengine Kuna mechi na mamelodi sundowns MBELE au al ahly. Mwingine mtangazaji kituo cha utangazaji Kiko dar huko Moshi utaweza saidia WATU kama HUYU jamaa YANGU kwa wakati?

Mwingine MSEMAJI WA KLABU ya mpira unakaa Dar huko Moshi wakusubiri MPAKA upate muda? Bora mnge ACHA KAZI huo NDO ungwana. Nikama makonda alivo FANYA kipindi kile ILI WATU wakajua kua mtakuwa NAO pamoja, KWENYE SHIDA na Raha SIKU zote.

Samahani uandishi wangu SI MZURI nakubali kurekebishwa asanteni...

Kwishaaaaaaa
 
Huyo Vedasto Mathayo Manyinyi hadi leo ni mbunge
 
Aha kumbe sijafatilia SIKU nyingi SANA mkuu, 🙏

Kwishaaa
Kwa nini unachanganya herufi kubwa na ndogo?
-Je,ni kweli haujui kanuni za uandishi?
-Kuna kitu unakificha/unajificha usitambulike?
-Ni madaha ya uandishi wako tu?
 
No nakua chap sana. Natamani niwe naingia jf kila SAA ila kazi ndo hivo, naandika fasta na post, sipendi mambo ya itaendelea...

Kwishaaaaa
 
MWAKA Fulani nilipo KUWA musoma masomoni. Nilikutana na JAMAA MmOJA HAPO shuleni tukisoma WOTE JAPO kombi ziklikua tofauti, ILA bweni tulipangiwa MOJA, Hatukua marafiki SANA ILA tulipenda kupiga STORI za hapa na pale.

SIKU moja katika MAZUNGUMZO yetu, JAMAA alinidokeza CHANGAMOTO anazo pitia kwa KWELI NILIMUONA huruma SABABU alinipa STORI KUHUSU familia aliyo tokea. Kuna muda unabeba majukumu ilihali BADO mtoto kabisa inasikitisha ILA mi sikuwa na msaada SABABU mi mwenyewe NILIKUA tegemezi nyumbani nikiwategemea wazazi.

SIKU moja NAHISI ILIKUA juma Mosi, JAMAA ALINAMBIA ana mpango wa KWENDA kumuona mbunge WA musoma MJINI enzi HIZO ALIKUA vedustus mathayo, samahani kama nmelikosea jina lake nafikiri KITU ka hicho ALIKUA ni WA CCM. Nilishangaa SANA nikamuuliza JE HUYO mbunge atakusaidia MANA sizani kama ni WAJIBU wake YEYE akununulie WEWE viatu VYA shule. Mi sikua nafahamu hayo majukum mengine ya mbunge ya kusaidia familia za WATU MATATIZO ya ndani kama hayo.

JAMAA akanambia KUWA KULE KWAO mahitaji ya shule familia maskini zinafata kwa mbunge SIJUI ada nauli za KWENDA shule na kurudi MPAKA mahali za kuoa. Nikauliza HUYO mbunge ni NDUGU yenu MPAKA kubeba hayo MATATIZO. AKADAI hapana NDO KAZI yake. ilinishangaza SANA. Nikajibu ok POA KAMANDA utanipa mrejesho, JAMAA AKADAI POA HUKU ananyanyuka kuondoka.

KWENYE mishale kama ya SAA KUMI nilibahatika kuonana na JAMAA, nika MULIZA VIPI, JAMAA AKADAI hakumkuta ILA wameambiwa waende juma tatu atakuwepo HAPO KWENYE sheli yake ya mafuta. Nikasema basi POA. SA lile neno hawajamkuta Ina maana walikua WENGI YEYE pamoja na nzengo. Basi bwana jtatu JAMAA katimba MAPEMA , akamkuta kajieleza mathayo akaingia KWENYE droo akachomoa mpunga akampa JAMAA. Mshikaji akashukuru aksepa. Alivo Rudi akanihabarisha, nikashangaa SANA daah. Kumbe ubunge NDO huko HIVI..

Sasa MWAKA huu nilivo ona baadhi ya sura KWENYE kutia nia ilinishangaza kidogo HIVI na HUYU ataweza. Samahani Kuna WATU tawakwaza. HIVI Mimi niwe MTU WA mvomero TAWEZA enda kumuomba msaada mwijaku? SI naogopa atanitangaza KWENYE media kunikejeli na mengineyo.

Chief god love walinzi kibao maisha ya anasa TAWEZA penya KWENDA kumueleza CHANGAMOTO ZANGU nyumbani KWAKE kama ofisini hayupo? KITU kingine MTU unakaa dar masaa karibia YOTE CHANGAMOTO za WATU WA kigoma utazitatua kwa wakati? mara umesafiri na msanii KWENDA marekani mara HUKU utaweza mkuu?

Unafikiria kusajili wachezaji mara usafiri na TIMU KILA inapo enda UPO mara michuano ya kimataifa, utaweza kweli kuwasikiliza WATU ukawaelewa? Pengine Kuna mechi na mamelodi sundowns MBELE au al ahly. Mwingine mtangazaji kituo cha utangazaji Kiko dar huko Moshi utaweza saidia WATU kama HUYU jamaa YANGU kwa wakati?

Mwingine MSEMAJI WA KLABU ya mpira unakaa Dar huko Moshi wakusubiri MPAKA upate muda? Bora mnge ACHA KAZI huo NDO ungwana. Nikama makonda alivo FANYA kipindi kile ILI WATU wakajua kua mtakuwa NAO pamoja, KWENYE SHIDA na Raha SIKU zote.

Samahani uandishi wangu SI MZURI nakubali kurekebishwa asanteni...

Kwishaaaaaaa
Ubunge ni mgumu sana!Bora huyo anasaidia watu wake!
 
Tatizo pesa tamu
 
Back
Top Bottom