Kwa network marketers makini.

Kwa network marketers makini.

bereng

Senior Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
114
Reaction score
21
Wengi wameumizwa sana na kujeruhiwa sana na Makampuni ya MLM kwa kiasi kikubwa hadi kufikia wakati watu walitoa machozi na wengine hata kutotaka kusikia tena habari hizo. Lakini wapo wanaofurahia na kufurahia maamuzi yao katika kufanya biashara ya MLM ambao tayari wameshafikia financial freedom.

Yapo makampuni mengi sana, kuna kampuni ambalo inasemekana linafanya vizuri sana ambalo hata mimi nilifanya nalo kwa miezi zaidi ya 6. Matokeo niliyaona lakini hayakuwa makubwa sana kama nilivyotarajia.
Nimetambulishwa katika kampuni mpya ambayo kwa mara ya kwanza ndiyo inaanza hapa Tanzania kwa sasa na kupata fursa ya kuelezwa vizuri marketing plan yao nikawa nimeipenda sana kwani iko vizuri sana kuliko hata hilo kampuni nilokuwa nafanyia awali, nikawa enrolled. Kilichonipa furaha zaidi niliweza kutengeneza pesa kwa siku ya kwanza tu naingia.

Nimegundua kuwa hili kampuni ni bora sana na linaweza kukutimizia ndoto zako kama kweli utakuwa serious na business. Hivyo napenda kurecommend kwa yeyote Yule ambaye ni muhanga aliwahi kuumizwa na makampuni mengine au anayyefikiria kampuni bora ya kufanya nayo, apate fursa ya kuelewa vizuri marketing plan ya kampuni na aone jinsi inavyoweza kumtimizia ndoto zake na kuamua. Naamini yatakuwa ni maamuzi ya busara ambayo huwezi kuyajutia hata kidogo.

Baadhi ya mambo ambayo ni mazuri ya kipekee katika hii kampuni ni pamoja na haya yafuatayo; 1. Start up cost yake ni ndogo kama dolla za kimarekani 223 hivi. Ambapo ukiwa enrolled unapewa business pack, kufunguliwa website yenye jina lako toka makao makuu marekani ndani ya saa 24, kupewa web link pamoja na kujaza mfumo wa kupata commission aidha cheki benki au kupewa mastercard toka marekani yenye majina yako na jina la kampuni pia ambapo utakuwa na uwezo wa kutoa pesa katika ATM yeyote duniani na kufanya mambo mengi zaidi kwa uhuru.

2. Wao wanajihusisha na product moja tu na iko unique sana, ni quality sana. Haikuhitaji kuhangaika na products, unachotakiwa ni kufanya kitu kinaitwa autoship walau product moja kwa mwezi ili kuwa active. Hivyo unaweza kuwa unatumia mwenyewe mwisho wa siku kipato kinaingia.

3. Wanalipa kila ijumaa ya wiki na malipo ni kwa dola za kimarekani kupitia mastercad utakayopewa au cheki bank.

4. Vipato vikubwa sana kuliko kampuni yeyote hapa Tanzania inayofanya MLM. Wanatumia single line matrix, njia mpya ya kipekee katika kutengeneza kipato. Kuna njia 8 za kutengeneza vipato, pia ni rahisi sana kujenga vipato vikubwa sana. Kuna testimonial za watu ambao walifanya na kampuni ambayo inasemekana inalipa vizuri kwa miaka 4, lakini waliweza kutengeneza vipato sawa na hivyo katika kampuni hii kwa miezi 4 tu.

5. Rejection ni ndogo sana, kama network marketers mnafahamu hili suala. Katika hii kampuni imekuwa ndogo sana kuliko nilipokuwa awali hivyo narecruit kama sina akili nzuri.

6. Ni kampuni mpya, hivyo kuwahi sasa kunakupa nafasi ya kujenga vipato vikubwa sana ndani ya muda mfupi kwani siku zote kipya kinyemi. Lakini uzoefu unavyoonesha asilimia kubwa ya watanzania ambao ni mamilionea na mabilionea katika mlm kampuni zingine zilizoanza ni wale walioanza kipindi cha awali wakati kampuni ndio zinaanza kujulikana

7. Ni rahisi sana kuelewa mfumo wa biashara na kujenga orgaisation yako kiurahisi zaidi kuliko nyingine ambazo sasahivi watu hawataki hata kuzisikia wala kukuona unawaelezea kuhusu products.

Ziko faida nyingi, lakini napenda kushare hizo kwa wale ambao ni open minded. Tambua kama mlango mmoja umefungwa Ndugu usiendelee kupoteza muda kugonga, bali angalia mwingine ulio wazi kwa ajili yako. Mimi napatikana Mwanza, kwa mtu aliye serious hapa Mwanza anayetaka kujua business anaweza kuwasiliana nami nikamwelezea ili akipenda tuanze biashara seriously. Namba yangu ni 0784 162979.
 
Back
Top Bottom