Kwa nature ya Bwana yule, mwandishi huyu mnayemshambulia atalipwa kwa kupewa uteuzi wakati wowote kuanzia sasa

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,022
144,380
Baada ya msiba kutokea na mwandishi huyu kujitokeza na kuonyesha huruma(inayotiliwa shaka),watu wengi wamemshambulia kwa maneno ya kila aina ikiwemo kuambiwa anajipendekeza/anatafuta uteuzi,n.k

Mimi binafsi sina imani na mwandishi huyu na hii ni kutokana na aina ya uandishi wake unaotia shaka hivyo naungana na wale wote wanaompinga.

Hata hivyo,naomba niwaambie tu,kwa kitendo cha kumshambulia na kumwambia anatafuta uteuzi,Bwana yule ataamua kumpa "ulaji "ili kuwakomoa wale wote mnaomshambulia maana hii ndio kawaida ya Bwana yule kama mmemsoma vizuri.

Naamini hata Mwandishi huyu anajua kuwa kwa kumshambulia kwake,ni sawa na kumpiga chura teke.

Binafsi namalizia kwa kusema hata akizawadiwa cheo,ukweli anaujua mwenyewe na kama alifanya vile kwa faida zake binafsi(kwa makusudi maalumu), basi anayosemwa yanastahili na yatabaki kuwa ya kweli hata akipewa ulaji.

Time will tell.
 
Mwandish mwenyewe mjanja na anajua kucheza na matukio na ndo maana kaamua kujibu baada ya kilichotokea,na ukimsoma vizur anaibuka kila mjadala unapotaka kupoa ili kuendelea kujadiliwa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo liandishi la kisukuma ambaye jina lake ni njaa ni fala sana. Yeye ndo alivujisha makala za Erick . Nalitafuta nilitoe meno.
 
Sijawai kuelewa lengo la Pascal uwa nini mpaka leo Jamaa kiukweli siwezi kumtetea kesi ya Kabendera amechangia pakubwa sana.

Eti unasikia mtu anasema kabendera kalisaliti taifa!

Hivi kusaliti taifa ni kumkosoa Rais wa nchi?
Je aliandika uongo kusema Rais hakosolewi? je Rais anakubali kweli kukosolewa?

Je walishindwa nini kumpa kesi ya uchochezi? kumkosoa Rais ndio unapewa kesi ya uhujumu uchumi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…