Kwa mwenye ufahamu na Course ya Optometry

sniperl123098

Member
Joined
Sep 19, 2016
Posts
25
Reaction score
6
Optometry Kwa anaeijua kozi hii na kazi zake na chuo kinachotoa nilisikia KCMC inatoa.

Vipi wakuu inafaa kusoma kuna mdogo wangu anataka kusoma hatojutia?
 
Wale wenye matatizo ya macho unawapima macho halafu unawachongea miwan kiajira ni nzur akasome
 
Kibongo bongo hii koz ajira ni mahospitalini tu ama VP au kunasehem zingine
 
Hospitali ila unaweza kua na kafremu unapima watu miwan na kuuza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…