Njiwa wangu
Senior Member
- Dec 5, 2020
- 146
- 289
Mkuu acha utani basi 🤣🤣🤣🤣Nilipooana heading inasema "Mwenye gari ndogo Kahama". Nimekuja faster ili kujua huyo mwenye gari ni nani na amehamia wapi.
Maana ile 'Kwa' sikuiona.
Mkuu naenda safari ya kikazi mkuu mie nimeoa na nina mke na mtoto kabisa kijana yupo form one anaenda form 2Kwanini ukamdanganye mtoto wa watu kuwa una gari?...we nenda na basi tu kaoe urudi....
Harrier old model 4psasa gari gani unataka iseme gari zipo ni kutangaza dau mtu limshawishi
Dereva mimiDereva wewe au dereva aje na gari?
Kila la kher mkuu,nami nina uhitaji kama wako..ukipata mawili nistue nichukue 1.Habarini zenu wanajamvi nahitaji gari ya kukodi kwa safari ya siku tano kutokea Kahama kwenda Katavi kisha Sumbawanga Mbeya na Iringa nakuja kutokezea Singida na kurudi.
Gari ninayohitaji yenye capacity 2000 kushuka Chini ila isiwe noah na iwe gari ambayo unaweza himili masafa hayo bila shida mimi nikuweka wese tu.
Karibuni PM nipo kahama mhungula unakuja mpaka nyumbani kwangu tunayajenga na kuandikiana mkataba pia
Kila la kher mkuu,nami nina uhitaji kama wako..ukipata mawili nistue nichukue