Kwa mwanamke mwema na bora

Cyprian shayo

Member
Joined
Sep 25, 2011
Posts
17
Reaction score
0
nahitaji mke mwenye upendo wa dhat...chin miaka 28..cm 0782050530 au 0759961060
 
Mke mwema Anatengenezwa na huwezi mjua hata kwa dawa owa mwanamke yeyote atakaekuvutia alafu umtengeneze kiukweli wanawake wooote unaowaona wema wametengenezwa wakiwa ndani ya ndoa zao na usitegemee wazaZi wa ckuiz kukusaidia kutengeneza tabia ya mke unaehitaji kumuoa
 
hivi kkweli mke mwema unaimani utampata hapa ... mwombe Mungu atakupatia mke mwema bwana
 
Kavu kavu hivyo? ngoja wakuchubue ukome.
 
Watani zangu mbona mnaniangusha sasa! Shayo nini sasa unatafuta mke huku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…