Who Cares?
JF-Expert Member
- Jul 11, 2008
- 3,507
- 3,378
mie ndio nilie-mpa wazo aje kutafuta huku gulioni...sema point ya kuzaa lazima amesahau kuiweka....na nyingine aliyosahau kuiweka ni kuwa "ukishaolewa tuu...JF HAIKUHUSU.....unakuwa mke swafi wa ndoa na kuheshimu ndoa yako na kuwa na busara za kutosha kulea familia....sio kila siku umbea wa jf unao wewe utadhan ndio mmiliki wake ndg. maxence melloWEWE NDO UNAETAFUTA?
mimi sio mtoto mkuu mimi rika lako tunapishana tu 2 yrs.ungenifaa sana sema basi tu maisha haya
ahahaaaaTuvute vute muda labda Kuna wizara inaweza hamia huko tukawa karibu.
ahahaa mbona unanichamba mkuu? wengine hatupo fb ,whatsup wala wapi ndo maana unatuona huku sana ila kweli nikiolewa na huyu jamaa wako nitashika adabu .nipigie debe basi best manmie ndio nilie-mpa wazo aje kutafuta huku gulioni...sema point ya kuzaa lazima amesahau kuiweka....na nyingine aliyosahau kuiweka ni kuwa "ukishaolewa tuu...JF HAIKUHUSU.....unakuwa mke swafi wa ndoa na kuheshimu ndoa yako na kuwa na busara za kutosha kulea familia....sio kila siku umbea wa jf unao wewe utadhan ndio mmiliki wake ndg. maxence mello
haya mkuu kila la kheri ukikosa kabisa baada ya week mbili nitafuteHayana formula ukicheka nayo yanacheka,
Mbaya unaponuna wengine ndiyo kwanza wanacheka kwa sauti!
nitafutie basi hata huyo shehewewe inabidi uolewe na sheikh tuu hakuana namnaa...maana sio kila muislam ni muislam swafi..wengine majina tuu na wala kitimoto balaaa.
Kama upo tayari njoo tujenge family .
Nahitaji mwanamke atakaye kuja kuwa mke,
Uwe Na miaka 28-32 uwe free unayejitegemea,
Kama Una mtoto si mbaya ila usiwe Na mawasiliano Na mzazi mwenzako tutakapokuwa pamoja Kama Ni mtoto nitalea,
Mimi Ni baba wa watoto wawili ila wapo nje ya nchi Na mama yao upweke umenizidi.
Kwa kufahamiana zaidi pm
Umri wangu Ni (36)
haya mkuu kila la kheri ukikosa kabisa baada ya week mbili nitafute
mie mwenyewe sheikh...karibu nafasi ilobakia ni moja watimie idadi ya wannenitafutie basi hata huyo shehe
USIJALI...INGIA PM KWAKE MUKAYAPANGE KITACHOSHINDIKANA NIJUZE NIKUWEKEE NGAZI UPANDE JUU ZAIDI MPAKA UFIKE BEI....ahahaa mbona unanichamba mkuu? wengine hatupo fb ,whatsup wala wapi ndo maana unatuona huku sana ila kweli nikiolewa na huyu jamaa wako nitashika adabu .nipigie debe basi best man
hahahahaahha,,,, mi nataka niwe wakwanza kama wamwisho ctaki.mie mwenyewe sheikh...karibu nafasi ilobakia ni moja watimie idadi ya wanne
Wanawake kuweni makini kuna watu kama huyu (Si lazima awe yeye exactly) wenyeji humu wameshasumbua sana wanawake, wana fake IDs kibao kujidai wako nje ya nchi kuwavutia... angalieni mtaliwa...
Asante good answerMshahara wako hauniusu mm nahitaji kukutunza,
Ili mradi kidogo uwe umeanza maisha wewe Kama wewe Ili utakavyovikuta kwangu uvitumie kwa akili Na si kukomoana.
Wanawake kuweni makini kuna watu kama huyu (Si lazima awe yeye exactly) wenyeji humu wameshasumbua sana wanawake, wana fake IDs kibao kujidai wako nje ya nchi kuwavutia... angalieni mtaliwa...
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] jf tunainjoy umbeamie ndio nilie-mpa wazo aje kutafuta huku gulioni...sema point ya kuzaa lazima amesahau kuiweka....na nyingine aliyosahau kuiweka ni kuwa "ukishaolewa tuu...JF HAIKUHUSU.....unakuwa mke swafi wa ndoa na kuheshimu ndoa yako na kuwa na busara za kutosha kulea familia....sio kila siku umbea wa jf unao wewe utadhan ndio mmiliki wake ndg. maxence mello
Unataka mwingine kumbemimi sio mtoto mkuu mimi rika lako tunapishana tu 2 yrs.ungenifaa sana sema basi tu maisha haya
Mbona unaunguza picha mkuu[emoji13] [emoji13]Watoto na mama yao wakirudi je kutoka huko nje ya nchi?? Kama hakuna mawasiliano na baba mtoto hii kweli inawezekana?? Mtoto hatomwona baba yake?? Am just thinking out of the box..
All in all best of luck