fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,584
- 9,088
Upofu mzigoBado hajasema...
Timu inatumia majini, uchawi, madawa ya kuongeza nguvu,
Yote hayo sasa yamezuiliwa.
Wamerejea kwenye Form yao OG
Dube ni mpumbavu sana.Nimesoma waraka ambao umeuandika kwa uchungu mkubwa sana,nami nimeusoma kwa uchungu mkubwa sana.Ni kweli unapitia madhila,matusi,lawama,kejeli,kashfa na kila aina ya masimango.
Nakuhakikishia kuwa kila binadamu amepitia hali hiyo,sio wewe tu,na hata hao wanaokutukana,wamewahi kupitia hali kama hiyo,huo ndio ubinadamu.Jiulize je wewe umewahi kupitia shida au mateso kuliko Joshuo Nkomo?,kuliko Robert Mugabe?
Watu hao walipitia mateso makubwa lakini waliongeza bidii na wakafaulu,ndivyo na wewe nakushauri ufanye,ongeza bidii na kumtumainia Mungu tu,hivi sasa wako wapumbavu wengi sana watakuja kwako kujifanya ndio ma masiha kwako,kwamba wanamjua mganga,sangoma ambae anaweza kukutibu ulivyorogwa,kataaa,ni Mungu pekee ndio atakayekusimamisha na uwashinde hao maadui zako.
Hayo mateso yako yote yageuze yawe fursa kwako,kukuchochea ufanikiwe.Na kwa lugha ya kwenu😛amberi ne chimurenga
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bado hajasema...
Timu inatumia majini, uchawi, madawa ya kuongeza nguvu,
Yote hayo sasa yamezuiliwa.
Wamerejea kwenye Form yao OG
Eti leo ndio anatakakuonewa huruma,,, mamaeh.Dube ni mpumbavu sana.
Amelelewa na kutunzwa vizuri sana akiwa Azam,lakini ametoka Azam kwa mabango na kashfa kwa maboss wake.Alifanyiwa utu sana akiwa Azam ingawa hakuipa thamani waliyompa wao.
Kuondoka kwa kukashifu waliomsaidia sio uungwana kabisa na anastahili kuadhibiwa zaidi ya hapo unless aombe msamaha wa dhati.
Mimi namwambia ubaya ubwela
Haya maneno tumeyazoeaBado hajasema...
Timu inatumia majini, uchawi, madawa ya kuongeza nguvu,
Yote hayo sasa yamezuiliwa.
Wamerejea kwenye Form yao OG
Tuwe wavumilivu kidogoYanga haina striker, kama tukiendelea kuwategemea mzize, baleke na huyo dube tumekwisha
Hakuna mchezaji wa yanga anayetumia sindano huo ni uongo mtupuKwani sindano vipi bado hazijafika au
Kuwa mtulivuEti leo ndio anatakakuonewa huruma,,, mamaeh.
Default modeWamerejea kwenye Form yao OG
Mungu wake yupo atamlindaDube ni mpumbavu sana.
Amelelewa na kutunzwa vizuri sana akiwa Azam,lakini ametoka Azam kwa mabango na kashfa kwa maboss wake.Alifanyiwa utu sana akiwa Azam ingawa hakuipa thamani waliyompa wao.
Kuondoka kwa kukashifu waliomsaidia sio uungwana kabisa na anastahili kuadhibiwa zaidi ya hapo unless aombe msamaha wa dhati.
Mimi namwambia ubaya ubwela
be patientDefault mode
Kutegemea matokeo kwa akili zile zile zilizo/zinazo tengeneza tatizo, (expecting results from what you know)Yanga haina striker, kama tukiendelea kuwategemea mzize, baleke na huyo dube tumekwisha
Mbona azam hawakulei wewe ?Dube ni mpumbavu sana.
Amelelewa na kutunzwa vizuri sana akiwa Azam,lakini ametoka Azam kwa mabango na kashfa kwa maboss wake.Alifanyiwa utu sana akiwa Azam ingawa hakuipa thamani waliyompa wao.
Kuondoka kwa kukashifu waliomsaidia sio uungwana kabisa na anastahili kuadhibiwa zaidi ya hapo unless aombe msamaha wa dhati.
Mimi namwambia ubaya ubwela
Hali hii ndio Einstein aliita ukichaa.Kutugemea matokeo kwa akili zile zile zilizo/zinazo tengeneza tatizo, (expecting results from what you know)
Hizi ni akili na mawazo ya kitumwaDube ni mpumbavu sana.