Andrew Mushi
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 630
- 696
Bruce Bueno ktk kitabu chake cha dictator handbook anaelezea kwa muhtasari dalili na muono wa uongozi wa dikteta na mipango yake..
01. Anateua watu wachache ktk serikali yake, wenye kufuata na kusikiliza amri zake, Yaani "circle of trust"
02. Anawatema wengi nje ya uongozi kwa kutishia aliowachagua ndani ya serikali ktk pointi ya mwanzo "circle of trust", Yaani ukifanya mchezo ukawa haushabihiani na matakwa yake, anakutema.
03. Ongeza Tax iwe kubwa kwa watu ili uweze kuwapa rushwa watu wako na kujiwezesha kutumia pesa hio ya tax ya watu kama zawadi kwa watu wako, ambayo itakufanya kama unafanya mambo mazuri ili kukuweka ktk uongozi, yaani ni rahisi, kutumia pesa hiyo anachotoka yeye na sio watu, yaani unatumia pesa ya Public kama chenji yako kucontrol watu,
Tujifunze mawili matatu, sikiliza tufaidike wote..
Mwenye kuweza kutoa tafsiri naomba tujalizie hapa, natanguliza shukran !