Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 458
Kwahyo whatsapp wanatuhadaa?Siku hizi suala la security mitandaoni ni issue...hakuna aliye secured..
Asante kwa elimu nzuri mdau.Kuingilkwa kwa mawasiliano yako hakuepukiki mtandaoni ila je huyo alie-intercept hayo mawasiliano yako amekipata kile alichokikusudia ndio suala la msingi......katika encryption kuna njia (algorithms) nyingi za ku-encrypt hayo mawasiliano na baadhi ya njia hizo ni crackable ....so the point is inategemea na njia ambayo watsap wanaitumia ku-encrypt hizo data....
Lakini pia itategemea na server za whatsApp je wanahifadhi vipi data zao. Je wanahifadhi as a plaintext au ciphertext....
For now ni vigumu kwa TCRA kujua unatuma nini kwasababu data zinakuwa encrypted pale zinapokua transmitted.
Hueleweki maana kizungu na kiswahili humo humo na unadhani utaeleweka
Umegonga very straight,Kwenye hayo magroup watu wanachomeana tu otherwise TCRA hawawezi kujua nini kinaendelea
Kumbe wambea ndo wanaponzanaUmegonga very straight,
Tcra hawana uwezo wa ku intercept whatsapp chats, kinachotokea ni kuchomeana tu,
Ni kweli kabisaa mkuu, ndio maana hata siku moja huwa, sijadili siasa kwenye magroupKumbe wambea ndo wanaponzana
Sure!!...usalama na ulinzi wa bongo unategemea ma snitch...na wambeaKwenye hayo magroup watu wanachomeana tu otherwise TCRA hawawezi kujua nini kinaendelea
Angalau shukuru kwa elimu uliyopewa na omba ufafanuzi pale ulipokwama.Hueleweki maana kizungu na kiswahili humo humo na unadhani utaeleweka
Asante kwa msaada japo umemix sana hiyo lughaKuingilkwa kwa mawasiliano yako hakuepukiki mtandaoni ila je huyo alie-intercept hayo mawasiliano yako amekipata kile alichokikusudia ndio suala la msingi......katika encryption kuna njia (algorithms) nyingi za ku-encrypt hayo mawasiliano na baadhi ya njia hizo ni crackable ....so the point is inategemea na njia ambayo watsap wanaitumia ku-encrypt hizo data....
Lakini pia itategemea na server za whatsApp je wanahifadhi vipi data zao. Je wanahifadhi as a plaintext au ciphertext....
For now ni vigumu kwa TCRA kujua unatuma nini kwasababu data zinakuwa encrypted pale zinapokua transmitted.