Guru Master
JF-Expert Member
- Jan 14, 2017
- 224
- 591
Kipimo cha akili cha binadamu kinaitwa IQ. na kwa mujibu wa kipimo hicho IQ ambayo ni average/kiwango cha kawaida ni kuanzia 90-110. asilimia 84 -70 hii ni kiwango cha chini ya akili ya kawaida. yaani below average. na kwa mujibu wa utafiti uliofanya na Profesa Richard Lynn 2002 to 2006 aligundua kuwa tanzania ina wastani wa kiwango cha IQ asilimia 72 huku Hong Kong wakiongoza kwa 108. kenya wakiwa na asilimia 80, Uganda 84 , DR Congo 74 na nchi nyingine zikiendelea.
Hii maana yake nini? kuwa kuna watu wenye uelewa mdogo wengi katika nchi yetu kuliko wenye uelewa mkubwa. na nini madhara yake? ina maana kwa kiasi kikubwa viongozi wetu kwa kiasi kikubwa wanachaguliwa na watu wenye uelewa mdogo. na maana yake asilimia kubwa ya viongozi wetu wana uelewa mdogo. kwa kufuata ule usemi usemao "ndege wa rangi moja huruka pamoja"
Hili ni tatizo kubwa na kuna haja ya kuiangalia kwa makini ikiwa wananchi wengi wa Tanzania upeo wao wa akili ni chini ya kiwango cha kawaida . je hawa viongozi tunaowachagua wanaonekanaje au wapoje? ikiwa umetenga makundi mawili.
A. kundi la wenye upeo mkubwa
B. kundi la wenye upeo mdogo
na haya makundi yote ukayataka kuchagua viongozi wao ni wazi kuwa kundi lenye upeo mdogo litachagu mtu mwenye upeo mdogo zaidi kuwa kiongozi wao na kundi la watu wenye upeo wa mkubwa watachagua mtu mwenye upeo mkubwa zaidi kuwa kiongozi wao.
Je, Watanzania tumechagua viongozi wa aina gani kuwa Viongozi wetu?