Kwa mtindo huu BOT badilikeni kwenye mambo ya kidigital

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,722
Yani tumekuwa nyuma kweli kwenye mifumo ya kupokea pesa.

jana nimepokea pesa kwenye skrill kwa kazi fulani yani kuja kuingia benk,masheria kibao mpaka pesa ziingie benk.

mbona kipindi cha zamani ilikuwa masaa 24 na kwa kutumia withdrawal kwa visa au mastercard.

hii inawapotezea pesa nyingi za kigeni kwenye digital.

nimeshindwa kusafiri maana sina huakika kama itaingia mda gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…