kwa mswati ni balaa.

haya matoto mazuri jaman,ningelikua mfalme wao ningeoa hata mia kumanina
 
huyu mswati ni shenzi kabisa
hawa mabinti wanadhalilika mno
hivi hakuna sheria znazowalinda hawa?
haki za bin adamu waaapi?aghhhhhhhhh!!
 
na hao wanabaki baada ya yeye kuchagua inakuaje? Au wanaenda kwa baraza la mawaziri?
 
Kwa Uzooefu wangu sidani kama Mwaka huu kaondoka na KITU...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…