Kwa msisitizo Nape kapiga magwanda

Elizabeth Dominic

Platinum Member
Joined
Dec 7, 2007
Posts
4,555
Reaction score
3,659
Nape mufilisi kweli kapiga gwanda jeusi kama la Mbowe wakati anatoa pongezi. ITV news
 
Mfano ahamie chadema mtampokea?
 
Nape anaipenda sana CDM tatizo ni mwoga wa kutoa maamuzi..yuko pale kimaslahi zaidi ila soon atakuja tu CDM.
 
Nape mufilisi kweli kapiga gwanda jeusi kama la Mbowe wakati anatoa pongezi. ITV news

sio mufilisi anaonyesha hisia zake..lazima tuheshimu hisia za watu naamini Nape anajua anachokifanya.
 
atapokelewa kama mwanachama wa kawaida tu, hana sifa ya uongozi wowote atatutia aibu.

Mkuu nimfumo na malezi ya magamba inamulazimu ayatende anayo yatenda napee nikiongozi anaye subutu napee akipigwa msasa ndogo ndogo nijembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…