Kwa mshahara huu utatoboa lini?

Huo mkopo haupo aseee.... hata waliosomea udakatari au engeneering ambao ndio wana mikopo mikubwa haifiki 50M , duuu mwalimu 109M sheeeenzy kabisa
 
 
Mada za wajasiriamali uchwara hii, wauza vibanda, na vi biashara mjinga . sio ww ulileta uzi humu unawahamasisha watu kwenda vijijini kulala maporini kuvuna mpunga, je ww unaetegemea kulala poroni ndo upate kula yako unawazidi nini walimu?
 
Kila.mtu
Kila mtu ana calling yake. Sio kila mtu atauza mpunga kama ww . Toka umevuna mpunga umepata tsh ngap inayokupa kibri cha kuwadharau walimu? Wajasiriamali uchwara bwana
 
Mleta mada ni mhanga wa kukosa ajira hvo yupo hapa kujifariji ......
 
Hahaaa 20,000 ni kwa fuel tu kwa siku ambayo sina mizunguko mingi.
 
Shukuru kwa kila jambo, kuna watu wanautaka sana huo mshahara, japo haukutani kila mwisho wa mwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…