Kwa msaada kubadilisha picha za necta kuwa 4kb

wetu wengi hio kitu wanaijua mkuu.... kwani inalipa kwa wanao fanya hiyo ishu.... so watu kibao wamejifunza ikiwa ni pamoja na mimi.
hongera kwa wema wako wa kusaidi wengine ambao bado kujua
 
Kwa wenzangu mnaoshughulika na usajili wa wanafunzi kidato cha nne, naona nsimu wa usajili umefika, natoa msaada kubadilisha picha kuwa ktk vipimo vya picha zinazohitajiwa na NECTA. Mawasiliano 0685352080.

Mkuu mbona unataka tuwe tegemezi?
Mwaka huu ukitusaidia na mwakani pia utatusaidia?
Mie huwa ninatumia program inaitwa FOMART FACTORY haiitaji kuwa na utaalamu wa kuedit na unaweza kubadili picha hadi kuwa na 2kb bila kuharibu ubora wake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom