Anko Sam JF-Expert Member Joined Jun 30, 2010 Posts 3,254 Reaction score 906 Jul 16, 2011 #21 Blaki Womani said: Maumivu ya miguu huanza polepole :sick: Click to expand... Ni kweli kabisa baada ya muda utasikilizia habari kwenye magoti!
Blaki Womani said: Maumivu ya miguu huanza polepole :sick: Click to expand... Ni kweli kabisa baada ya muda utasikilizia habari kwenye magoti!
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,875 Jul 17, 2011 #22 Ndallo said: Wanaume wa Arusha baada ya miaka kama 5-6 ijayo watakuwa wanatembelea wheelchair kwaajili ya kula nyama za mbuzi kutokana na ugonjwa wa GAUTi miguu/mikono/vidole kuvimba na kujaa maji! inabidi serikali ifanye jitahada ya kuwaokoa! Click to expand... hivi hizo GAUTI....huwa zinashika wanaume tu?......nimesema niulize kidogo
Ndallo said: Wanaume wa Arusha baada ya miaka kama 5-6 ijayo watakuwa wanatembelea wheelchair kwaajili ya kula nyama za mbuzi kutokana na ugonjwa wa GAUTi miguu/mikono/vidole kuvimba na kujaa maji! inabidi serikali ifanye jitahada ya kuwaokoa! Click to expand... hivi hizo GAUTI....huwa zinashika wanaume tu?......nimesema niulize kidogo