Kwa mliowahi onja adha ya Fumanizi si Mbaya Mkishare! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa mliowahi onja adha ya Fumanizi si Mbaya Mkishare!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by payuka, Oct 15, 2010.

 1. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kama umewahi kufunaniwa unamega amri ya sita na mke/mume wa mtu si mbaya ukitoa experience yako, huwa inakuwaje?

  1. Je, ulitamani ardhi ipasuke?
  2. Je, ulimtishia mgoni wako ku-fight back?
  3. Je, ulikimbia ukiwa mtupu?
  4. Je, ulisahau Kufuli wakati wa vurumai?
  5. Je, Ulipodakwa uliwaeleza nini ndugu zako wa jirani, mkeo na watoto?
  6. Je, Walikudaka wakati ndo unakaribia Kufika Kilele Cha Kilimanjaro?
  Si mbaya mkishare sababu hizi habari wengine huwa tunazisoma kwenye magazeti tu!
   
 2. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Unaona mambo kama haya! mke akipewa kichapo cha nguvu na shemeji zake! hii sio fair, ilitakiwa kwanza aulizwe shida nini mpaka anagawa nje! Je, kama waziri jogoo alikuwa awiki?
  mke wa waziri.jpg
   
 3. M

  Mlabondo Senior Member

  #3
  Oct 16, 2010
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 140
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Sijawahi na mie ni mwoga balaa kuna siku nilikuwa na mke Wa Mwalimu mkuu na mkewe akataka tukaendeleze game nyumbani kwake aliniganda hadi saa Sita usiku alidai mumewe kasafiri. Bahati mbaya huyo bwana ni rafiki yangu na huwa tuna lewa wote. Nilimwambia Yule nwanamke atangulie haijapita nusu saa huku natafakari niende au nisiende mara mumewe anagonga mlango Wa mbele. Just imagine ningekuwa ndani si ingekuwa balaa.
   
 4. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Ni kutoka mkuku tu ukizubaa unaweza kubakwa.
   
Loading...