alikuwepo kabla ya hapo.
Lengo la kuanzisha uzi huu ni kuwaleta karibu wale wote waliosoma Moshi Tech. ku-share mawazo na hata furaha zilizoanzia hapo shuleni. Mie kwa sasa nafundisha lile somo la mwl. Nzoyi (mutu) ambaye nasikia alishastaafu na sina uhakika kama yupo hai. Pia nawamiss best friends kama Aloyce Ntaturo aliyekuwa electrial dep., Sweetbert (tajiri la kihaya), Vidah Mashallah, Kelvin na Tabu Nyerere, Stella Lubuva na wengine wengi. Karibuni tukumbushane mengi ya zamani.