,,,, ivi umeoa/imeolewa ,,,,
kwanini hutaki badili lifestyle yako ya maisha...
1,WANAWAKE
wewe mwanamke,,,hayo mambo ya kuendelea kesha ma saloon sijui wafanyiwa massage,waoshwa kuchwa,sijui wafanyiwa facial,,, .. Ya nini yote hayo,,,,, unaendelea vaa ma wigi ya ajabu ajabu kama ulivyokua kabla ya ndoa,,, ili iweje,
Ninachojua mimi ndoa ni maisha mapya, mnakutana pale kama wageni wa maisha na mnaanza upya maisha yenu,,, yote uilyotoka nayo huko mtaani unayaacha na kuanza upya na mwenzio,.. simaanishi kwamba muwe wachafu na msijipende ile kuna miiko ya ndoa,,,,haijalishi hata kama umetoka familia ya kizungu,mambo ya kuendekeza safishwa kucha saloon mtakuja safishwa mpaka 'K' na mwishowe ndoa zenu kufa.
2.WANAUME..
umeshaoa ,,,,, kwanini unaendelea kushinda vijiwe vya gahawa,,,unaendelea shinda vijiwe vya hair cutz,,,ukitoka kazini unapitia kwa crew yako ya kizamani na kuendelea na mambo yakikuda tu wakati umeoa,, mkeo atamegwa.
,,,,,,,,,, Nisiongee sana .,,, ila jamani watu mlio katka ndoa zenu punguzeni maisha ya kisasa,, mara mojamoja muongee hata na wazee wenu wawape miiko ya ndoa ili mdumu.
HITIMISHO.
Haya maisha ya kisasa yanaoendelezwa na wanandoa wa kileo ni chanzo cha ndoa kutodumu,kusalitiana na kuleteana magonjwa,.. KILA LA HERI WANANDOA,,, JIESHIMUNI...