Principle girl
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 1,675
- 1,756
Ndugu nina nyumba maeneo ya Uyole maeneo ya oilcom. Nifanyie mpango nipate mteja.Habarini waungwana
Kwa huitaji wa nyumba ya kununua kupanga,shamba la kununua kukodisha,chumba au vyumba vya kupanga..dalali nipo hapa seriously
Ndugu nina nyumba maeneo ya Uyole maeneo ya oilcom. Nifanyie mpango nipate mteja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado ndugu... nitakuwekea picha weekend.Weka picha Mkuu... kuna ndg anakuja Mbeya Kuishi mwezi October
Au ushapata Mteja?
Mimi nnashida na fremu.. mbeya mjin...vip ntapataje... au nikufuate PMHabarini waungwana
Kwa huitaji wa nyumba ya kununua kupanga,shamba la kununua kukodisha,chumba au vyumba vya kupanga..dalali nipo hapa seriously
Bado ndugu... nitakuwekea picha weekend.
Dalali kakimbia
Dalali kauza simuSio mchezo aisee. Last seen hapa JF ni August 30.
Ngoja tuone Kama atarudi Dalali. Kama kuna Dalali huko Mbeya na unasoma huu uzi, sio mbaya akidandia .. mambo yakanyooka.
Tupo hapa watu wa mbeya
Kuna nyumba veta! Ina vyumba vitano vyote master! Plus kuna mabanda ya kufugia kama ni mpenzi wa kufuga.Natafuta nyumba yenye sifa zifuatazo, iwe na vyumba viwili vya kulala, sebule, jiko, iwe ndani ya fensi, iwe inajitegemea maji na umeme, nyumba iwe imejengwa hivi karibu ni maeneo ni VETA, block T, Forest mpya, nane nane. Ofa yangu ni 150 kwa mwezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Type bei kwa mweziKuna nyumba veta! Ina vyumba vitano vyote master! Plus kuna mabanda ya kufugia kama ni mpenzi wa kufuga.