Plot4Sale Kwa million 1.3 unaweza pata kiwanja kizuri sana

Oct 17, 2019
13
7
Karibu Obey new villege
Ni mradi wa viwanja vya makazi na biashara (kisemvule)
BEl SASA NI MILIONI 1.3 TU.Ni Viwanja Vizuri sana VIMEPIMWA. Piga /Whatsaap 0627952483

UKUBWA kwa kila kiwanja ni Futi 50 X 40 mil 1.3
futi 80 X 50 (SQM 400)milion 2.6, futi 100 X 80
(SQM 800) 5,200,000/=. Viwanja vipo kisemvule mbele kidogo ya Vikindu.
Vimezungukwa na huduma muhimu jirani,
Umeme upo jirani, Maji yapo, Eneo la
Shule limetengwa, Eneo la Stendi limetenga Eneo
la kituo cha afya limetengwa, Eneo la Soko n.k

USAFIRI NI UHAKIKA, kuna daladala za kutoka
Gerezani hadi Kisemvule, Tandika hadi
Kisemvule, Tenmeke hadi Kisemvule n.k

FIKA KISEMVULE, utapelekwa mpaka kwenye
mradi wetu bure. Njoo ulipie kiwanja chako, KWA
AWAMU TUNAPOKEA,

KUMBUKA KUJA KUONA NI BUREEE NA
KUNUNUA NI HADI URIDHIKE MWENYEWE.

MAWASILIANO 0627952483

FB_IMG_1592304223753-1500x1125.jpg
IMG_20200624_101002_646-1500x1200.jpg
FB_IMG_1592304254708-1500x1125.jpg
IMG_20200624_095641_415-1500x1200.jpg
IMG_20200621_135629-1500x1125.jpg
66635375_339414333622752_6454313370545312406_n.jpg
66420384_2525479454152490_7539504367009630562_n.jpg
 
Karibu Obey new villege
Ni mradi wa viwanja vya makazi na biashara (kisemvule)
BEl SASA NI MILIONI 1.3 TU.Ni Viwanja Vizuri sana VIMEPIMWA. Piga /Whatsaap 0719953414

UKUBWA kwa kila kiwanja ni Futi 50 X 40 mil 1.3
futi 80 X 50 (SQM 400)milion 2.6, futi 100 X 80
(SQM 800) 5,200,000/=. Viwanja vipo kisemvule mbele kidogo ya Vikindu.
Ahsante... waambie wale Wahuni wanaotangaza eti "mbele kidogo ya Mbagala" kwa sababu utangazaji wa aina hiyo hauna afya kibiashara!!

Mathalani mtu anatoka Kinondoni, ni vema sana akijua kwamba huu mziki, Mbagala naiacha kabisa na nikifika Vikindu, ndipo naanza kuhesabu maduka!! Kwahiyo akifunga safari, tayari anakuwa amefahamu ni wapi anaenda!

Sasa mtu unamwambia mbele kidogo ya Mbagala wakati wengi wanaifahamu Mbagala ilipo! Si ndo mwanzo unaanza kuhesabu nyumba kuanzia Mbagala, ukipoteza hesabu na hujafika unaamua kurudia njiani kwa sababu unadhani mahali kwenyewe si ajabu hata Mkuranga unafika!!

All in all, congratulation! Ni wakati sasa mabenki yakaanza kukopesha wahitaji kwa miradi kama hii, badala ya kuishia kukopesha wanaotaka mijengo Kiulaya Ulaya!!
 
Bank wakiwekeza kwenye viwanja kuuza kwa mikopo mbona watataka riba kubwa sana... Na sio kama hakuna taasisi za fedha hazikopeshi viwanja kwa mkopo Baypot wnafanya hivyo kule kigamboni wana viwanja ila hiyo riba sasa
 
Hao Bayport sitaki hata kuwasiki! Back in the days kwa kumhurumia demu wangu nikajifanya eti ni-prepay mkopo ambao aliuchukua Baypot!

Baada ya ku-calculate alichopewa na alichotakiwa kurudisha, nikwambia wazi hili shipa mimi simo!!!
 
Wazo zuri mmethubutu kuwekeza kwenye viwanja, sema naona vipo mbali.
Uzuri wake, kunafikika kirahisi! Mahali kama Vikindu kwa mfano, linapokuja suala la usafiri ni kama upo Dar tu, tena ukitoka kule kama una usafiri wako, ni moto chini, foleni unaikuta wakati umeshafika Mbagala!
 
Ahsante... waambie wale Wahuni wanaotangaza eti "mbele kidogo ya Mbagala" kwa sababu utangazaji wa aina hiyo hauna afya kibiashara!!

Mathalani mtu anatoka Kinondoni, ni vema sana akijua kwamba huu mziki, Mbagala naiacha kabisa na nikifika Vikindu, ndipo naanza kuhesabu maduka!! Kwahiyo akifunga safari, tayari anakuwa amefahamu ni wapi anaenda!

Sasa mtu unamwambia mbele kidogo ya Mbagala wakati wengi wanaifahamu Mbagala ilipo! Si ndo mwanzo unaanza kuhesabu nyumba kuanzia Mbagala, ukipoteza hesabu na hujafika unaamua kurudia njiani kwa sababu unadhani mahali kwenyewe si ajabu hata Mkuranga unafika!!

All in all, congratulation! Ni wakati sasa mabenki yakaanza kukopesha wahitaji kwa miradi kama hii, badala ya kuishia kukopesha wanaotaka mijengo Kiulaya Ulaya!!
Asante Kwa mawazo yako mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom