Mwaba nani? nchemba?Wakuu
Hapa najiuliza maswali kwa mfano mwamba mwenye kiburi cha elimu angepata bahati ya kupita harvad ingekuaje?
Au elimu yake ingesaidia kugundua mfumo wowote hata wa kodi kwenye nchi hii hali ingekua vipi?
Yaani achana na hizi elimu za hapa kwetu kijijini ambazo kiukweli tofauti ya msomi na asiesoma wala haipo tena muda mwingine asiesoma anaakili sana kuliko aliesoma!
Sasa muulize elimu yake hiyo ya kukariri ina impact gani kwenye hiki kijiji chetu utakuta vichekesho sana hata kule mtaani kwao haijafanya lolote la maana, yaani hata wanafamilia wake tu hawajauacha umaskini.
Nawaza angepita alipopita Obama, Chenge, ingekuaje?
Kinachompa kiburi siyo elimu,ni madaraka tu. Na haya mazoea mwisho wa siku hata aliyemteua ataanza kumzodoa
Kwanini alimrudisha?Magu alikuwa sahihi kumuweka jamaa bench.
Kwanini alimrudisha?
Siyo Magu.Aliye mrudisha ni chief woman.
Ngoma ikivuma……. Acha tuangalieeKinachompa kiburi siyo elimu,ni madaraka tu. Na haya mazoea mwisho wa siku hata aliyemteua ataanza kumzodoa
Kwani ukitaja mwigulu nchemba unaogopa nini?Wakuu
Hapa najiuliza maswali kwa mfano mwamba mwenye kiburi cha elimu angepata bahati ya kupita harvad ingekuaje?
Au elimu yake ingesaidia kugundua mfumo wowote hata wa kodi kwenye nchi hii hali ingekua vipi?
Yaani achana na hizi elimu za hapa kwetu kijijini ambazo kiukweli tofauti ya msomi na asiesoma wala haipo tena muda mwingine asiesoma anaakili sana kuliko aliesoma!
Sasa muulize elimu yake hiyo ya kukariri ina impact gani kwenye hiki kijiji chetu utakuta vichekesho sana hata kule mtaani kwao haijafanya lolote la maana, yaani hata wanafamilia wake tu hawajauacha umaskini.
Nawaza angepita alipopita Obama, Chenge, ingekuaje?
Unauhakika ?Siyo Magu.
Tuone kama huo utajiri utamfaa wakati huo.Halafu nasikia ni tajiri mkubwa sana siku hizi ana nguvu za kiuchumi hababaishwi kizembe
Alimrudisha kama waziri wa fedha baada ya kukaa bench miez kadhaa.Unauhakika ?
Alimrudisha kama waziri wa fedha baada ya kukaa bench miez kadhaa.
Oooh! Kulikuwa hakuna muunganiko kati ya mkono na oblongata. Huwez amin nilikuwa naandika katiba na sheria ila sikujua aliapishiwa chattke. Pia najua alikaa bila uaziri miez kama mitano.Alirudishwa kama waziri wa sheria na katiba na aliaapishiwa chatle utakua umepoteza kumbukumbu